TANZIA Medi wa Ngara Oil afariki Dunia

TANZIA Medi wa Ngara Oil afariki Dunia

Huyu anahusika moja kwa moja kwa sababu yeye kama rais hakubaliani kuwa huu ugonjwa upo nchini na kwa hiyo hataki kuchukua hatua zozote kuwahami wananchi na janga hili...
MSHAMBIWA TUCHUKUENI TAHADHARI
[emoji378][emoji378] HAPO SASA AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO!
ENDELEENI TU KUNAWA MIKONO,KUVAA MASK,EPUKA MISONGAMANO ISIYOKUWA YA LAZIMA!ZAIDI YA HAPO SERIKALI HAIWEZI KUFANYA LOLOTE MZEE

ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Anataka Rais aseme kifo marufuku hapa Tanzania nacho kifo kitamtii...
 
Wanaona raha sana kutangaza misiba. Hawana akili hawa wajinga
Acha ujinga mkuu, mpaka redion huwa kuna matangazo ya vifo, au na yenyewe huwa yanakukera? Kicha kipe kazi yake sahihi na siyo kufugia nywele
 
Rais si mwanadamu mwenzio. Rais ni binadamu tuliyempa dhamana ya kutuhami katika majanga kama haya. Ndiyo maana tunalipa kodi...

Hapo kwenye "tuliyempa dhamana" panaleta ukakasi kidogo.
 
Mnapenda sana hizi taarifa za misiba sijui mnafurahia ama? So boring

Mnaumiza ndugu jamaa na marafiki kwa ushabiki wenu wa kijinga.

Acheni kufurahia vifo vya wenzenu
Duhh hivi kuna sehemu mtoa Maada ameonesha kufurahishwa?
 
Vifo vimekuwa vingi, hata watoto wadogo wanakufa.

Hali ni mbaya. Japo huko juu wanakaa kimya ila hali haiko sawa.

Tumeanza kuwa na hofu sasa.

Mwambieni Mheshimiwa aseme kitu, atutie hata moyo wapiga kura wake, au yeye anaona ni sawa tu, sasa tukifa wote kwani yeye atapona ? Pia apunguze ukali, siyo kila kitu kutufokea, hata akiongea tunaelewa tu.
 
Mnapenda sana hizi taarifa za misiba sijui mnafurahia ama? So boring

Mnaumiza ndugu jamaa na marafiki kwa ushabiki wenu wa kijinga.

Acheni kufurahia vifo vya wenzenu
Anacholenga mtoa mada ni kuanza kuzungumzia Covid-19 ilihali watu wana magonjwa yao
 
Mnakera na hizi taarifa za misiba..embu nashauri moderators waweke special thread ya tanzia tu , anayetaka kutoa tanzia aweke humo, au wasiojielewa wakifungua thread za tanzia basi mods muupeleke huko special thread ya tanzia

Moderator Maxence Melo
Ulifungua ya nini kwani head inajieleza acheni mbwembwe
 
Mnapenda sana hizi taarifa za misiba sijui mnafurahia ama? So boring

Mnaumiza ndugu jamaa na marafiki kwa ushabiki wenu wa kijinga.

Acheni kufurahia vifo vya wenzenu
...Kupeana Taarifa za Msiba in Kufurahia Kifo?? Kwa hiyo wewe unaona Taarifa kama hii hakuna mwenzetu atashukuru kuipata kupitia hapa JF? Kweli, Mkuu??[emoji848]
 
Mnapenda sana hizi taarifa za misiba sijui mnafurahia ama? So boring

Mnaumiza ndugu jamaa na marafiki kwa ushabiki wenu wa kijinga.

Acheni kufurahia vifo vya wenzenu
Wafrika bwana.
Mwigulu nchemba alikataa taarifa za vifo tutasema hawala. Akapewa na wazir kama zawad.
Hata tukipashana huku kwenye mitandao mnatufokea? If ipo tangu 2006 na taarifa za musiba zikitolewa mbona sijawahi sikia makaripio??
 
Tatizo ni kuwa hampost kwa nia ya kuonyesha majonzi yenu au kutoa taarifa tu bali kuna ushabiki flani ndio mnaoulenga hasa kuhusu hiki ambacho dunia inapitia kwa sasa
 
Kwahiyo unasubiri Rais akuambie unawe mikono, uvae barakoa, n.k?
Basi sawa

Hili lilikuwemo:

Hivi hata ulisoma kweli?
 
MSHAMBIWA TUCHUKUENI TAHADHARI
[emoji378][emoji378] HAPO SASA AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO!
ENDELEENI TU KUNAWA MIKONO,KUVAA MASK,EPUKA MISONGAMANO ISIYOKUWA YA LAZIMA!ZAIDI YA HAPO SERIKALI HAIWEZI KUFANYA LOLOTE MZEE

ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app

Uliyaona haya kama sehemu ya majibu?

Au ni kukurupuka kuandika tu?

Tunaepuka vipi misongamano kwenye ma ferry, magulio, ma dala dala, mabasi nk tunapokuwa katika kusaka kodi ya kumpa serikali?

Tunawahami vipi wazee na wale wenye magonjwa mengine?

Hudhani kuwa maeneo haya yaliihitaji serikali kufanya inayotakiwa kufanya?

Jiridhishe unatambua kinachoongelewa kabla ya kuandika yasiyokuwapo.
 
Hakuna Nafsi itakayosalia chini ya Jua,Apumzike kwa Amani Marehemu.
 
Back
Top Bottom