Kwahiyo una hasira na wasafi?Kuna watangazaji kama wamehama na kipindi chao wamehamia Wachafu Fm wote ,juzi wakati natafuta tafuta masafa ya redio nikasikia sauti ya mtangazaji mmoja wa kike na wale wenzake nikajua nipo ile redio nacheki frequence nakuta 88.9 Wachafu Fm ,nikamkazia macho wife nkajua kabadilisha redio bado kidogo nimkate Kofi la uso,maana huwa anachezaga hako ka mchezo ,akikuuliza swali ukijifanya upo busy na kusikiliza radio anabadili frequency. 😀 😀 😀 😀 😀
Au anataka iisifu chadema?Unataka wamsifu babu yako?W w MTU ndio anawafanya watoto wao njia ya choo isiote nyasi utaacha kumsifu?
Vijana wa siku hizi hamna adabu kabisa.
Who ventured into the media entertainment niche in the first place?Kwan Ruge ndiye mwanzilishi wa hv vpindi?
Kuna watangazaji kama wamehama na kipindi chao wamehamia Wachafu Fm wote ,juzi wakati natafuta tafuta masafa ya redio nikasikia sauti ya mtangazaji mmoja wa kike na wale wenzake nikajua nipo ile redio nacheki frequence nakuta 88.9 Wachafu Fm ,nikamkazia macho wife nkajua kabadilisha redio bado kidogo nimkate Kofi la uso,maana huwa anachezaga hako ka mchezo ,akikuuliza swali ukijifanya upo busy na kusikiliza radio anabadili frequency. 😀 😀 😀 😀 😀
Kuna wengine wanafny kipindi cha mchana kinafanana na Leo tena cha Mwawingu Fm boss!Hao ni wakina kitenge wamehama na ideals za kipindi cha Sport HQ cha EFM yani unaweza kufungua wasafi asibuhi ukadhani uko EFM hahahaha
Hahahahaha unaongea kwa uchungu arifuMawingu wenyewe wamecopy nchi za nje 😂😂😂😂Acha watu wapate rizki wewe. Kwahiyo na wasafi wasiwe na vipindi vya michezo sababu mawingu wanavyo au taarifa ya habari sababu hiyo. Tena hiyo wasafi festival ilitakiwa iitwe wasafi fiesta sema walitumia ubinadamu 😂
Impact ipi uionayo wewe ni ipi? Hao wanaotaka kunyanyuliwa walishajinyanyua wao kabla hata ya promo za hizo mediaUnaonekana tu superwoman imekuumiza sana.. mi nilfkr ungepongeza swala la platform kama hizi za kuinua dada zetu.wee unakimbilia copy and paste kuliko impact ya jambo lenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Ata me mwenyewe nashangaa ni sawa nakusema kampuni isianzishe mtandao wa voda kwasababu eti Kuna Kuna kampuni ya Tigo Cha msingi hapo ni kuongeza ubora na utekelezwaji wa hizo ideas utofautiane.Kila radio lazima kiwe na kipindi cha michezo,taarifa ya habari mbona hamsemi hivo ni copy and paste?
Hivi radio nyingine isianzishe kipindi cha mapishi kisa kuogopa kucopy wakati mapishi ya ugali ni yale yale.
Radio moja kikiwa na kipindi cha singeli radio nyingine isianzishe kisa radio moja ina hiyo kipindi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ata me mwenyewe nashangaa ni sawa nakusema kampuni isianzishe mtandao wa voda kwasababu eti Kuna Kuna kampuni ya Tigo Cha msingi hapo ni kuongeza ubora na utekelezwaji wa hizo ideas utofautiane.
Mfano xxl kuna redio moja hvi inafanya hicho kipindi kule marekaniKichwa Cha habari Cha huu Uzi uliktakiwa uwe"wasafi acheni kuiga undeni vya kwenu" ..maana huu Uzi wasafi ndiyo wameonekana waigaji maarufu mleta mada amesahau hata hao mawingu pia waliiga baadhi ya vipindi kwenye media nyingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo Sasa..hakuna jipya chini ya juaMfano xxl kuna redio moja hvi inafanya hicho kipindi kule marekani
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanacopy sana idea za clouds!!
haya mbwiga kaja na sodo cup, mpira unachezwa kwenye kiwanja katikati kuna mnazi, hakuna kuvaa viatu! Waganga ruksa wanavunja mayai uwanjani [emoji23][emoji23][emoji23] hakuna offside
Sent using Jamii Forums mobile app