Mlundilwa Jr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 3,187
- 4,857
[emoji16][emoji16][emoji16] ipi hiyo mkuuMimi huwa nasikiliza TBC siwezi kupoteza mda wangu kumsikiliza MTU ambaye hana hata Diploma ya Journalism au Mass Com.
Kwanza hawana Content juzi kuna radio wali copy thread yng hapa JF ikawa ndio topic of the day watu wakawa wanapiga simu kuchangia idea ya thread yng nikatamani niwafungulie Kesi sema nilikosa mwanasheria.
Kumbe Jf nao wanapitaga wale wa media😀 😀
Sent using Jamii Forums mobile app