Media za Bongo na muendelezo wa Copy & Paste

Media za Bongo na muendelezo wa Copy & Paste

Mimi huwa nasikiliza TBC siwezi kupoteza mda wangu kumsikiliza MTU ambaye hana hata Diploma ya Journalism au Mass Com.

Kwanza hawana Content juzi kuna radio wali copy thread yng hapa JF ikawa ndio topic of the day watu wakawa wanapiga simu kuchangia idea ya thread yng nikatamani niwafungulie Kesi sema nilikosa mwanasheria.
Kumbe Jf nao wanapitaga wale wa media😀 😀
[emoji16][emoji16][emoji16] ipi hiyo mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu wanakopi hadi muda wa kurusha kipindi sijui wanawazaga nini hawa maandazi
Hivi hata hii lugha ya Kiswahili tunayoingea yenyewe imekopi maneno mengi kutoka lugha mbali mbali, unafikiri idea gani haijatokana na idea nyingine?

All man made stuff must ve been copied. Sasa usifikiri kukopi ni kufikilisika kimawazo bali ni njia ya kuzaa wazo.
 
Hakuna wa kumuabudu, hizo zilikuwa enzi hizo. Muhimu ni kuchambua kipi kizuri na kinakidhi hitaji lako maana, "dunia sinia pakua unachoweza" labda kama uniambie una aleji na kila mlo toka kwa wapishi wa maudhui ya habari.

Kama ambavyo, wadhamini ama makampuni yanayotangaza biashara, yenyewe yanachagua ama kwa kushauriwa pia na wataalamu wa masoko wanaweza dhamini segment tu ya kipindi nawe nakushauri waweza sikiliza segment tu kama wapenda au kipindi kizima.

Dunia ya sasa, kwenye biashara hatutafuti upekee maana ni soko huria haupo peke yako bali utofauti maana unaweza fanya zaidi ya mwenzako na si lazma kuwe na utofauti mkubwa, kama ambavyo kinachofanya wenye iPhone waringe ni logo ya apple kabla ya mengine.

Tukitafuta original idea hakuna, hata Fiesta ambayo ilibadilishwa jina tu kutoka Summer Jam ya kibongo ni idea iliyotoka Marekani enzi hizo music festival iliyokuwa inabamba ni Summer Jam.
sawa sawa
 
Hapo Kwenye The Story Book Kuna kisegment cha Clouds Kilikuwa Kinaitwa "Je Wajua" walikuwa wanaelezea historia za Vitu Km Tu Hyo The Story Book ya Hao wasafi. Tena hyo Segment ilikuwa ya kwenye Clouds 360 kila Asubuhi

Ukweli Usemwe. Wasafi wameshindwa Kuleta Stuffs mpya kwa Market. Wanacopy Kwa Kuwa Wamekaa Kimashindano Zaidi. Focus Yao ni kumpiku Clouds. Nothing Else. Na ndo maana wanachkua presenters from other stations ili Tu kufill the Void.

Ila Kwa Brand waliyonayo wanaeza wakaleta vitu Vipya kwa market na watu wakavipokea.

Na vitu Vipya Vipo ila kwa Kuwa wanataka mashindano wanapita mulemule. Imagine kwenye Hii Dunia ambayo Bongo Fleva na muziki From outside umeshika hatamu unatumia 3-4 hours unacheza Nyimbo za Taarabu. Kweli? With what Audience? Vijana wengi ambao ndo wasikilizaji wakuu hatupo huko.

Ntaishia hapa kwa Leo.

Wasafi wana kipindi chaitwa story book, haya tuambie wameiba wapi?

Nafikiri ifike mahali angalau ungechambua kipindi hata kimoja ili uone tofauti na ubunifu uliopo si kuorodhesha vingi ili uonekane mchambuzi mzuri.

Nikupe mfano, kuna segment kwenye block 89 inaitwa group admin, haya niambie inafananaje na segment iliyopo XXL kuanzia jina na content wise?

Hizi kelele tumshazisikia mtaani na kwa washabiki, wewe usipoleta upembuzi makini tutakuona wale wale.
 
Story book mbona ni copy and paste nayo, wamefanya muda sana kina Dennis Mpagaze, Davistar Mata hata Sky walker kafanya
 
Back
Top Bottom