Media za Bongo na Mwijaku ifike sehemu lazima wawe serious sasa tumemchoka huyu jamaa

Matope

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Posts
892
Reaction score
683
Huyu jamaa shida ni nini wadau tusaidiane kumdadavua??

Anaitwa Mwijaku binafsi sijawahi kuona lolote la maana kwake leo naona kawafomea waandishi wa habari still bado wanamuuliza maswali tu inashangaza

Mara asambaze sijui picha za utupu duh yaani nakuwa hoves kabisa

Ndio nani huyo
 
Unatuchosha zaidi kumleta humu na sisi tumjadili

Ungekausha tu
 
Ndio nani.? Wek habari nzima ikiwezekana na video
 
Huyu jamaa shida ni nini wadau tusaidiane kumdadavua??

Anaitwa Mwijaku binafsi sijawahi kuona lolote la maana kwake leo naona kawafomea waandishi wa habari still bado wanamuuliza maswali tu inashangaza

Mara asambaze sijui picha za utupu duh yaani nakuwa hoves kabisa
Ameshatoka rumande? Umemwona wapi ?
 
Mwijaku anafurahisha sana.. nakumbuka na ripot mzumbe university main campus moro mwaka 2007 October.. nikakutana na mwijaku kwa baunsa pub karibu na mzumbe secondary yeye akiwa mwaka wa pili..

Akasema dogo mbona unaonekana mjanja mjanja sana.. umemaliza shule gani.. nikamjibu.. akasema ndio maana umekaa kitapeli.. hebu agiza bia unayotaka kuonesha ukarimu wa kaka zako . Nikaogopa.. nikamwambia bia za kununuliwa mwiko kwa wajanja..toka siku hiyo akawa rafiki sana enz za mzumbe.. mpaka alipofukuzwa chuo mzumbe na kwenda kuanza upya udsm..

Kwa ufupi.. mwijaku ni fun person.. anazingua tu na anajua kuzingua kweli.. muacheni apige hela za wapenda umbea bongo
 
Alifukuzwa au alidisco MU hakutaki ubishoo
 
Huyu jamaa shida ni nini wadau tusaidiane kumdadavua??

Anaitwa Mwijaku binafsi sijawahi kuona lolote la maana kwake leo naona kawafomea waandishi wa habari still bado wanamuuliza maswali tu inashangaza

Mara asambaze sijui picha za utupu duh yaani nakuwa hoves kabisa
Ndio Nani huyo mwinjaku?kaongea Tv gani?
 
Mbona mnaleta habari haijakamilka?

Unafikiri mwijaku wote wanamjua?

Unatoka kuangalia video pekeako huko youtobe

unakimbilia kuja huku kutupa maelezo bila video ya mahojiano, mbaya zaidi hata picha tu ya huyo ( mwijage )sori,,,,,mwijaku haipo,

You are polluting the platform
 
Huyu jamaa shida ni nini wadau tusaidiane kumdadavua??

Anaitwa Mwijaku binafsi sijawahi kuona lolote la maana kwake leo naona kawafomea waandishi wa habari still bado wanamuuliza maswali tu inashangaza

Mara asambaze sijui picha za utupu duh yaani nakuwa hoves kabisa
Think tank wa chama cha mapinduzi uyo
 
Mwijaku anafurahisha sana.. nakumbuka na ripot mzumbe university main campus moro mwaka 2007 October.. nikakutana na mwijaku kwa baunsa pub karibu na mzumbe secondary yeye akiwa mwaka wa pili..

Akasema dogo mbona unaonekana mjanja mjanja sana.. umemaliza shule gani.. nikamjibu.. akasema ndio maana umekaa kitapeli.. hebu agiza bia unayotaka kuonesha ukarimu wa kaka zako . Nikaogopa.. nikamwambia bia za kununuliwa mwiko kwa wajanja..toka siku hiyo akawa rafiki sana enz za mzumbe.. mpaka alipofukuzwa chuo mzumbe na kwenda kuanza upya udsm..

Kwa ufupi.. mwijaku ni fun person.. anazingua tu na anajua kuzingua kweli.. muacheni apige hela za wapenda umbea bongo
Kumbe ana elimu ya Chuo cha Mzumbe na UDSM? 2007 alikuwa mwaka wa pili? Inakuwaje anafanya mambo ya kipuuzi hata kama ni msanii? Mbona kina mpoki na joti la saba B hawafanyi upuuzi kama wake?
 
YouTube channel zenyewe zina angalia contets zitakazo wafanya kutrend,haijalishi mtu mwenyewe wanaye muhoji ni wa aina gani.
 
Mwijaku anafurahisha sana.. nakumbuka na ripot mzumbe university main campus moro mwaka 2007 October.. nikakutana na mwijaku kwa baunsa pub karibu na mzumbe secondary yeye akiwa mwaka wa pili..

Akasema dogo mbona unaonekana mjanja mjanja sana.. umemaliza shule gani.. nikamjibu.. akasema ndio maana umekaa kitapeli.. hebu agiza bia unayotaka kuonesha ukarimu wa kaka zako . Nikaogopa.. nikamwambia bia za kununuliwa mwiko kwa wajanja..toka siku hiyo akawa rafiki sana enz za mzumbe.. mpaka alipofukuzwa chuo mzumbe na kwenda kuanza upya udsm..

Kwa ufupi.. mwijaku ni fun person.. anazingua tu na anajua kuzingua kweli.. muacheni apige hela za wapenda umbea bongo
Hata akiwa udsm alikuwa mchangamufu Sana, kilicho mfanyaga akafukuzwa mzumbe Nini, Ila akiwa udsm aliwahi kumtapeli shoga angu Mambo ya mikopo bila kusahau wizi wa laptop
 
Pub gani ilikuwepo karibu na Mzumbe sekondari mkuu?
 
Hata akiwa udsm alikuwa mchangamufu Sana, kilicho mfanyaga akafukuzwa mzumbe Nini, Ila akiwa udsm aliwahi kumtapeli shoga angu Mambo ya mikopo bila kusahau wizi wa laptop
Alidisco
 
Back
Top Bottom