Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 15,328
- 11,192
Point. 👏 👏 👏Unatuchosha zaidi kumleta humu na sisi tumjadili
Ungekausha tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Point. 👏 👏 👏Unatuchosha zaidi kumleta humu na sisi tumjadili
Ungekausha tu
Jamaa anawatumia tu funs wake.Mwijaku anafurahisha sana.. nakumbuka na ripot mzumbe university main campus moro mwaka 2007 October.. nikakutana na mwijaku kwa baunsa pub karibu na mzumbe secondary yeye akiwa mwaka wa pili..
Akasema dogo mbona unaonekana mjanja mjanja sana.. umemaliza shule gani.. nikamjibu.. akasema ndio maana umekaa kitapeli.. hebu agiza bia unayotaka kuonesha ukarimu wa kaka zako . Nikaogopa.. nikamwambia bia za kununuliwa mwiko kwa wajanja..toka siku hiyo akawa rafiki sana enz za mzumbe.. mpaka alipofukuzwa chuo mzumbe na kwenda kuanza upya udsm..
Kwa ufupi.. mwijaku ni fun person.. anazingua tu na anajua kuzingua kweli.. muacheni apige hela za wapenda umbea bongo