Jina la Kenya limetangulia si kwa bahati mbaya, kuna vigezo vingi vimeipita Uganda na Tanzania, halafu walishawahi kupata nafasi mara mbili kuandaa michuano hiyo japo walinyang'anywa uenyeji kutokana na kutokukidhi viwango vya CAF. Tanzania imewekwa ya tatu, ndio ilivyo. Usishangae fainali zikafanyika kenya