Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Vyombo vyote vya ndani havijaripoti habari za bunge la ulaya hata hivyo wananchi, na vyombo vya kimataifa na jirani vimeripoti habari hizo.
Je, serikali ya Tanzania inaendeleza ukandamizaji na ukoloni kwa wanahabari wa kitanzania ?
Je, serikali ya Tanzania inaendeleza ukandamizaji na ukoloni kwa wanahabari wa kitanzania ?