Media za ndani hazijaripoti habari za Bunge la Ulaya lakini Media za Kimataifa zimeripoti

Media za ndani hazijaripoti habari za Bunge la Ulaya lakini Media za Kimataifa zimeripoti

Wanaokataza vyombo vya ndani ni wajinga kweli kweli make taarifa zote wananchi wanazipita live bila chenga hadi wa vijijini huko ndanindani hii habari washaipata,nashindwa kuelewa hawa watu sjui wapoje
 
Inakera mnoo. Wanaishi kwa denial. Hata haya maandamano na mauaji waliyotenda kwa waTanzania bado wanashindwa kusema wazi, utasikia 'yale yaliyotokea' ..Pumbavu zao
 
DW hata wazee wa ndani ndani huisikiliza kupitia redio washirika, na ni bahati kuwa watu hasa wazee wanapendelea sana.
Leo nilikuwa naiskiliza mchana watangazaji walikuwa ni wadada tu, yaani wanatamka maneno kama yalivyo bila kuogopa, walikuwa wanaongelea suala la yule afande wa mbeya aliyesema eti boda boda wasiuziwe petrol zaidi ya lita 2 kipindi hiki na kauli ya IGP kuhusiana na hilo suala.

Je, hizi ndio hatua za awali za polisi wa tanzania kuhakikisha usalama kufuatia fununu za uwepo wa maandamano mengine siku chache zijazo?
 
wahuni tangu wamepitisha ile sheria yao ya mizania eti media yaziruhusiwi kuchapisha au kutangaza habari bila kuhoji kwanza serikali,eti hujausikiliza upane wa pili..akini ajabu hio serikali ikitafutwa ili ijibu hoja ili kupata hiyo mizania ya habari wanayotaka eti wanafunga vioo hawatoi ushirikiano wa maana..utasikia tu chombo cha habari au mwandishi wanashughulikiwa kisa wametoa habari bila mizania yaani serikali haijasikilizwa il kubalance story utawasikia wanahororoja ooh mnaleta taharuki,mnavuruga amani ya nchi..hiyo sheria imekuwa fimbo ya kuvifunga midomo vyombo vya habari na kuvilazimisha viwe chawa wa watawala na wala hawajali kama wanaharibia wenzao biashara na kuaminika kwa umma
 
Nawaza kimoyo moyo, Kwani wana habari wakikubaliana wote wakaandika mambo yasiyo ipendeza serikali ikavifungia vyote tukabaki na Uhuru, mzalendo na Habari Leo alafu tusiyanunue wala kuyasoma magazeti yao kisha Tbc1, Tbc Taifa na Chanel 10 tugome kusikiliza wala kutizama Tv pia itakuaje? Serikali haiwezi kusalimu amri kweli?
 
Leo nilikuwa naiskiliza mchana watangazaji walikuwa ni wadada tu, yaani wanatamka maneno kama yalivyo bila kuogopa, walikuwa wanaongelea suala la yule afande wa mbeya aliyesema eti boda boda wasiuziwe petrol zaidi ya lita 2 kipindi hiki na kauli ya IGP kuhusiana na hilo suala.

Je, hizi ndio hatua za awali za polisi wa tanzania kuhakikisha usalama kufuatia fununu za uwepo wa maandamano mengine siku chache zijazo?
Sasa waandishi wa Tanzania wangukuwa vile tungeikomboa hii nchi mapema sana.
 
Bongo vyombo vya habari vinapewa maelekezo vilipoti nini na visiripoti nini haviko huru hata kidogo.
 
Hii ilikua interview ya Ruto ,kuzungumzia hali ya nchi baada ya maandamano makubwa kuwahi kutokea ya GenZ , June 25 mwaka 2024

Hebu angalia hao waandishi wa habari watatu , Linus Kaikai, Joe Ageyo na Eric Latif walivyokua wanamuuliza maswali magumu.

Hadi hapo unajiuliza Samia kipindi hicho akiwa rais wa mpito[ 2021-2025] kwa maana sasa hivi sio rais na nchi iko auto pilot , kuna mtu angethubutu kumuuliza kuhusu mauaji ya Mdude , Kibao na wengineo au walau angeweza kuita waandishi kuzungumzia hali ya nchi??

View: https://www.youtube.com/live/CWL60e-4N3I?si=44PjLYJ_x1F-03j7

Angalia kipande hiki wanamkumbusha juu ya uongo wake.

View: https://youtu.be/u_mcukieF5g?si=fUPAuoxBtpigS0wd

Tanzania waandishi wa habari wanahesabika ni wachache mno wengi ni toilet paper za CCM.
 
Wanaokataza vyombo vya ndani ni wajinga kweli kweli make taarifa zote wananchi wanazipita live bila chenga hadi wa vijijini huko ndanindani hii habari washaipata,nashindwa kuelewa hawa watu sjui wapoje
Inashangaza sana, unajiuliza hawa watu wana akili za aina gani. Unazuia vyombo vya ndani visir8poti wakati watu wana simu na internet, wanapa6a habari papo hapo. Kama juzi wakati bunge la ulaya linajadili hii ishu watanzania walikuwa wanafuatilia live huko tiktok. Tunaongozwa na watu wa hovyo sana...
 
Media za bongo ni hovyo kabisa. Wataripoti kwa haraka sana pale hiyo "serikali" yao ikijibu hayo maazimio.
 
Back
Top Bottom