Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Msivilaumu, wanaogopa kufungiwaVyombo vyote vya ndani havija ripoti habari za bunge la ulaya hata hivyo wananchi, na vyombo vya kimataifa na jirani vimeripoti habari hizo.
Je, serikali ya Tanzania inaendeleza ukandamizaji na ukoloni kwa wanahabari wa kitanzania ?
D9 wakae mstari wa mbele kwenye maandamanoMsivilaumu, wanaogopa kufungiwa
Watafute biashara nyingine ya kufanya kama hawawezi KUSIMAMIA taaluma yaoMsivilaumu, wanaogopa kufungiwa
DW huwa ni mwiba mkali sana kuliko hata CNN kwa hivi vibonzo vyao.Vyombo vyote vya ndani havija ripoti habari za bunge la ulaya hata hivyo wananchi, na vyombo vya kimataifa na jirani vimeripoti habari hizo.
Je, serikali ya Tanzania inaendeleza ukandamizaji na ukoloni kwa wanahabari wa kitanzania ?
View attachment 3508518
DW hata wazee wa ndani ndani huisikiliza kupitia redio washirika, na ni bahati kuwa watu hasa wazee wanapendelea sana.DW huwa ni mwiba mkali sana kuliko hata CNN kwa hivi vibonzo vyao.
Wanajua kuipiga spana sana hii serikali dhalimu
Inasikitisha sanaVyombo vyote vya ndani havija ripoti habari za bunge la ulaya hata hivyo wananchi, na vyombo vya kimataifa na jirani vimeripoti habari hizo.
Je, serikali ya Tanzania inaendeleza ukandamizaji na ukoloni kwa wanahabari wa kitanzania ?
View attachment 3508518