LGE2024 Media za Tanzania wanafiki sana, zimekesha kuripoti uchaguzi wa Marekani lakini hazina habari na uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Elimu ya uchaguzi wameshamaliza kwa wananchi wote?
kipi bado gentleman 🤣

hiyo ilianza kutolewa tangu kabla ya uandikishaji wapiga kura..

na mpaka baadhi ya vyama vya siasa wakawa wanawapotosha wanachama wao wasiende kujiandikisha na hata viongozi waandamizi wa baadhi ya vyama vya siasa wamegoma kujiandikisha hiyo ni kumaanisha elimu umetolewa vya kutosha.

kinachosubiriwa sasa ni kampeni kuanzia Nov 20 na hatimae uchaguzi wenyewe Nov 27 🐒
 
Kwa hiyo uchaguzi wetu hauna maana hata kuufuatilia kwa sababu mshindi anajulikana?. Its a real shit hole country welcome Trump.
 
Tatizo ni kuwa wewe na hao waliokununua kuwafanyia uchawa mmefanya uchaguzi wa Tanzania umepoteza mvuto kabisa kwa umma wa Watanzania. Bora tufuatilie uchaguzi wa nchi yoyote duniani kuliko wa Tz
 
Media za Tanzania ni mbwa tu pamoja na wamiliki wao
 
Kwa hiyo uchaguzi wetu hauna maana hata kuufuatilia kwa sababu mshindi anajulikana?. Its a real shit hole country welcome Trump.
Hapo kwenye neno 'mshindi' ungeweka 'mbakaji', maana siyo ushindi halali
 
Kwa hiyo uchaguzi wetu hauna maana hata kuufuatilia kwa sababu mshindi anajulikana?. Its a real shit hole country.
unaripoti nini hali ya kua ratiba yote ya uchaguzi wa serikali za mitaa iko wazi kwenye public domain gentleman?

huo si utakua ushirikina huo 🤣

yaani ulimwengu macho na maskio ya ulimwengu mzima yako huko marekani, halafu wewe unaripoti uchaguzi ambao bado zaid ya majuma mawili kufanyika 🤣 huo utaku uchawi aise
 
Tatizo ni kuwa wewe na hao waliokununua kuwafanyia uchawa mmefanya uchaguzi wa Tanzania umepoteza mvuto kabisa kwa umma wa Watanzania. Bora tufuatilie uchaguzi wa nchi yoyote duniani kuliko wa Tz
mimi ni kiongozi wa wananchi siwez kununulika na wala siwez kubabaika na mihemko au makasiriko ya mtu yeyote gentleman..

kwahiyo utamani uchaguzi wenye mvuto 🤣

Tanzania utafanyika uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji Nov27 kwa mujibu wa sheria na katiba ya Tanzania, na sio kwa kuzingatia mvuto 🤣
 
In short uchaguzi wetu hauna mvuto kwa sababu mchakato wote umechezewa, hauna ladha.
 
Uko sahihi uchaguzi wetu ni drama tupu ni uchaguzi wa chama kimoja CCM, mtendaji anakimbia polini kukwepa fomu za wapinzani.
Hakika kabisa mifano ni mingi wapo wanao jichewelesha makusudi!
 
In short uchaguzi wetu hauna mvuto kwa sababu mchakato wote umechezewa, hauna ladha.
Gentleman,
Tanzania inafanya chaguzi zake kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na sio kutengemea mvuto au mihemko ya watu. hapo umepotoka 🤣

na by the kuna ambao hawajajiandikisha lakini walikua wakipiga mayowe hao ni balaa 🤣

nadhani watapiga mayowe zaid wakati wa kampeni kuanzia Nov 20, na mayowe kupindukia yatapigwa zaid baada ya Nov27, halafu ndiyo tuone hayo mayowe ni mvuto wa uchaguzi au maumivu makali ya matokeo ya uchaguzi?

kumbuka wapiga hawajajiandikisha, sasa sijui wanasubiri muujiza 🤣
 
Itakuwa hawataki kuripoti vitu vya kijinga
 
Itakuwa hawana pesa ya leseni maana TCRA na TRA ni watoto wa Mama mmoja 😃
 
Tanzania kuna mitaa kumbe....huo uchaguzi unaoongelea ndio up?...huu mlioandikisha watoto kama wapiga kura...hebu acha utani bwashee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…