Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
kipi bado gentleman 🤣Elimu ya uchaguzi wameshamaliza kwa wananchi wote?
hiyo ilianza kutolewa tangu kabla ya uandikishaji wapiga kura..
na mpaka baadhi ya vyama vya siasa wakawa wanawapotosha wanachama wao wasiende kujiandikisha na hata viongozi waandamizi wa baadhi ya vyama vya siasa wamegoma kujiandikisha hiyo ni kumaanisha elimu umetolewa vya kutosha.
kinachosubiriwa sasa ni kampeni kuanzia Nov 20 na hatimae uchaguzi wenyewe Nov 27 🐒