Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Kama umekuwa mfuatiliaji mzuri wa maudhui kutoka media mbalimbali utakubaliana nami kuwa media nyingi za Tanzania zimekuwa za kikasuku na burudani kuliko kazi nyingine za media nawashauri medias, wadau wa media na watangazaji kujifunza kutoka kwa ndugu zetu kenya, kuazia mpangilio wa vipindi, aina za watangazaji, maudhui na michakato ya uundaji wa maudhui. Hii itaondoa ukasuku kwenye media pamoja na watengeneza maudhui binafsi mtandaoni.
Nchi yenye media za kikasuku haiwezi kuendelea. Media ni nyenzo muhimu sana katika ukuaji wa uchumi na Utawala bora.
Asanteni.
Nchi yenye media za kikasuku haiwezi kuendelea. Media ni nyenzo muhimu sana katika ukuaji wa uchumi na Utawala bora.
Asanteni.