Media za Tanzania zijifunze kutoka Kenya

Media za Tanzania zijifunze kutoka Kenya

Media zote bongo vipindi vinafanana .sehemu unaweza kupata habari za uhakika kwa sasa bongo ni Jamii Forums,Mwananchi na Jambo tv online .media nyingini ni........au bac
 
Shida sio waandishi wa hapa bongo naona ni pote tu,miaka hiyo BBC idhaa ya kiswahili saa 12 alfajiri usingizi unakata wenyewe,nahisi ni mfumo wa habari umebadilika tu,BBC wenyewe vita vya Gaza wako upande wa Israel,vita ya Urusi na Ukraine wapo upande wa Ukraine,vita vya Congo wapo upande wa M23
Lo
 
Kuna siku sijui ilikuwa station gani ile, mara ooh sijui una “ugwadu” wa kutosha.
Khaaaa!
 
Kama umekuwa mfuatiliaji mzuri wa maudhui kutoka media mbalimbali utakubaliana nami kuwa media nyingi za Tanzania zimekuwa za kikasuku na burudani kuliko kazi nyingine za media nawashauri medias, wadau wa media na watangazaji kujifunza kutoka kwa ndugu zetu kenya, kuazia mpangilio wa vipindi, aina za watangazaji, maudhui na michakato ya uundaji wa maudhui. Hii itaondoa ukasuku kwenye media pamoja na watengeneza maudhui binafsi mtandaoni.

Nchi yenye media za kikasuku haiwezi kuendelea. Media ni nyenzo muhimu sana katika ukuaji wa uchumi na Utawala bora.

Asanteni.
Huku kwetu bongo, ni mimavi mitupu, pale WCB, kuna kenge wanajiita, wazee wa minyama, beberu, na upuuzi mwingine,
Kuanzia asubuh, ni, udaku mtupu, na Jabari nyepesi, Jana watu wanazungumzia, eti piga simu, useme kwa miaka 48 ya ccm, umejifunza nini?surely! Kuna, Mambo ya, msingi, Vita Congo, misaada ya, USA, kenge wapo kwenye udaku!
 
Dah
 
Back
Top Bottom