Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Ati unasema?Kama umekuwa mfuatiliaji mzuri wa maudhui kutoka media mbalimbali utakubaliana nami kuwa media nyingi za Tanzania zimekuwa za kikasuku na burudani kuliko kazi nyingine za media nawashauri medias, wadau wa media na watangazaji kujifunza kutoka kwa ndugu zetu kenya, kuazia mpangilio wa vipindi, aina za watangazaji, maudhui na michakato ya uundaji wa maudhui. Hii itaondoa ukasuku kwenye media pamoja na watengeneza maudhui binafsi mtandaoni.
Nchi yenye media za kikasuku haiwezi kuendelea. Media ni nyenzo muhimu sana katika ukuaji wa uchumi na Utawala bora.
Asanteni.
Kama ulivyosomaAti unasema?
Ndipo matatizo yanapoanziaMedia zetu nyingi ni michezo na mambo ya mapenzi tu pamoja na uchawa!
labda wakajifunze kupokea rushwa na kurubuniwa na wanasiasa na vyama vyao 🐒Kama umekuwa mfuatiliaji mzuri wa maudhui kutoka media mbalimbali utakubaliana nami kuwa media nyingi za Tanzania zimekuwa za kikasuku na burudani kuliko kazi nyingine za media nawashauri medias, wadau wa media na watangazaji kujifunza kutoka kwa ndugu zetu kenya, kuazia mpangilio wa vipindi, aina za watangazaji, maudhui na michakato ya uundaji wa maudhui. Hii itaondoa ukasuku kwenye media pamoja na watengeneza maudhui binafsi mtandaoni.
Nchi yenye media za kikasuku haiwezi kuendelea. Media ni nyenzo muhimu sana katika ukuaji wa uchumi na Utawala bora.
Asanteni.
Mimi naona watanzania wengi wanaogopa kuikosoa serikali na hili tatizo lipo hadi kwenye media hivyo waandishi wanatakiwa wasiogope kuzua mijadala inayoweza kuikosoa serikali ila sikubaliani na wewe eti waandishi wajifunze kwa wakenya naamini tuna waandishi wenye uweledi ila ndo wanaogopa kuikosoa serikali.Kama umekuwa mfuatiliaji mzuri wa maudhui kutoka media mbalimbali utakubaliana nami kuwa media nyingi za Tanzania zimekuwa za kikasuku na burudani kuliko kazi nyingine za media nawashauri medias, wadau wa media na watangazaji kujifunza kutoka kwa ndugu zetu kenya, kuazia mpangilio wa vipindi, aina za watangazaji, maudhui na michakato ya uundaji wa maudhui. Hii itaondoa ukasuku kwenye media pamoja na watengeneza maudhui binafsi mtandaoni.
Nchi yenye media za kikasuku haiwezi kuendelea. Media ni nyenzo muhimu sana katika ukuaji wa uchumi na Utawala bora.
Asanteni.
Hahalabda wakajifunze kupokea rushwa na kurubuniwa na wanasiasa na vyama vyao 🐒
Hizi ndio akili za masisiyemuMedia zetu nyingi ni michezo na mambo ya mapenzi tu pamoja na uchawa!
Investigetive bongo, labda kama umechoka kuishi.Mfungue investigative media zenu. Bongo ni taarifa za habari na entertainment, fungua chako. Mbona maelezo waliyatoa.
Wengi waliofungua tv and radios ni watu wa entertainment soko lilipo kibongo.
Alafu itv channel ten tbc zote ni za kuhabarisha.
Msiwapangie watu.
Anzisha yako hiyo ndo fursa yenyewe. Kuna audience ya kusikiliza hayo maudhui yako?
Na comment vizuri tuUsi comment kama una hasira