Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani watu wanatofautisha kubakwa(na watu wasiojulikana au wanaojulikana lakini kwania hovu mfn kukuteka kukuvizia ama kukutana nao bahati mbaya katika maeneo hatarishi)NIlimsikia asubuhi, walitoka out na jamaa akamtilia kilevi akaenda kumlala na mimba ikaingia sawia...
Mpaka anafikia kuyasema hayo alishitaki polisi alipobakwa? Au ndiyo alikuwa anangoja ushahidi wa mimba au ukimwi?View attachment 3068605
Wanaume nao watajitokeza kulalamika kuwa walibakwa na wake zao.
Na itakuwa vipi watoto wakiyasikia ama kuyasoma malalamiko haya ya wazazi wao?
Nimependa hapo tamu tamu😂😂😂Mpaka anafikia kuyasema hayo alishitaki polisi alipobakwa? Au ndiyo alikuwa anangoja ushahidi wa mimba au ukimwi?
Wenginehawa walupanuwa miguu mwenyewe na qalikuws wsnasema tamu , tamu. Sasa wakiona hawapewi huduma qanasingizia kubakwa.
Serikali, hususan Ustawi wa Jamii ulishighulikie hili.
Dkt. Gwajima D tukio hilo, changamkia.
Ndiyo ukweli huo, atapataje mtoto bila utamu?Nimependa hapo tamu tamu😂😂😂
Mwandiko huu utausoma mwenyewe.Nadhani watu wanatofautisha kubakwa(na watu wasiojulikana au wanaojulikana lakini kwania hovu eg kukuteka kukuvizia ama kukutana nao bahati mbaya katika maeneo hatarishi)
na kufanya mapenzi bila kuwa tayari kwa jambo Hilo na mtu asiye rasmi au kwa ushawishi wa kitu Fulani au jambo Fulani na Bado mkaendeleza UHUSIANO na huyo na kutorudia kufanya Tena Hilo jambo au kurudia na UHUSIANO ukaendelea
Nadhani kwa namna SIsahihi yat watu wanatumia KUBAKWA katika Hali kufanya watu waonekane mtu amefanya jambo baya sana kumbe ni tamaa zake ndo zikampelekea kutombwa bila kuwa tayari kwa jambo mwisho MIMBA
NDO MANA SHERIA YA TANZANIA HAITAMBUI MUME KUMBAKA MKE
ILA UNAWEZA UKASIKILIZWA IKIWA MKE ATATHIBITISHA MUME ANAMUINGILIA KINYUME NA MAUMBILE
hivyo huyo MALAYA tamaa zake ndo zilimponza kula vya watu Kisha kutoa QYUMA hataki shubamiti zake