Cute Wife
Platinum Member
- Nov 17, 2023
- 3,054
- 8,449
Wakuu,
Script ni ile ile yaani, serikali ikivurunda badala ya kutafuta njia ya kutatua tatizo yenyewe ndio kwanza inamwagia Petroli kwenye moto!
Bado Tanzania wana machungu juu ya kilichotokea, upande wa Magharibi wanaendelea kutupiga nyundo kila siku, serikali na CCM wako bize kulipa online media kusambaza ujinga!
Sasa unajiuliza, hata wakisambaza huu upuuzi, hali yetu inabadilika kutokana na yanayoendelea? Yani faida yake ni nini hasa kwenye hasa yote, ikiwa kama inaendelea kukazwa na tunaendelea tu kuchezea hela!
Na media kweli mmeshindwa kukaza kila siku nyie kuchambiwa tu na kuachiwa uchafu? Halafu sasa naona kuna stratergy mpya, zile legacy media zilichafuka beyond matengenezo pamoja na the like za Millard hawapewi kusambaza huu upuuzi, sasa mezigeukia online media kwa nguvu zote! Mwisho kutakuwa hakuna chombo ambacho wananchi wanaamini kupata taarifa sahihi, sababu serikali na CCM imeua vyote!
Pia soma
~ PostGE2025 - Mambo mengine manne Tanzania inatakiwa kufanya ili kuepuka kitanzi cha Marekani ukitoa Maridhiano
~ Bunge la Ulaya laitaka Tume kufuta Ufadhili wa Mwaka 2026 kwa Tanzania
~ PostGE2025 - Kombo aenda ubalozi wa EU Tanzania kuzungumzia vikwazo
~ PostGE2025 - Yaliyomo kwenye muswada wa Marekani kuipa vikwazo Tanzania. Polisi, TISS na Wachina wametajwa