PostGE2025 Media zimeendelea kutumika kama toilet paper suala la mahusiano kati ya Marekani na Tanzania!

PostGE2025 Media zimeendelea kutumika kama toilet paper suala la mahusiano kati ya Marekani na Tanzania!

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ni hatari unawezaje kuhesabu kura milioni 31 kwenye zile vurugu ni utoto unajipa ushindi wa kishindo kwa 98% huu upumbavu watu wanafanya wizi na propaganda lakini lazima angalau ziendane na ukweli. Mfano ukiwa dukani umeajiriwa mauzo yenu labda kwa siku milioni kumi huwezi kuiba milioni 5 kwa siku mwenye duka atastuka angalau huwe unachukua elfu 50 kwa siku hawezi kustuka mwenye duka sasa wao wanakwapua mpaka hata mjinga anaelewa ndo nini sasa


Rais Fake Kapatikana kwa kura Fake na kapatikana kimiujiza yani kura zilipigwa Milioni 32.7 kwa muda wa saa 6 pekee.
Zikahesabiwa ndani ya saa 72 .

maana yake kura 126 zilihesabiwa kwa sekunde 1 na kura 7569 kwa dakika moja tu
 
kazi yao kubwa waliyotumwa na wananchi ni kugonga meza na kupiga makelele hapa unawazungumzia wale wagonga meza?
Halafu Kila mgonga meza anayesimama lazima amshukuru na kumsifia rais muuaji? Sijui ni maelekezo au vipi. Itakuwa maelekezo mbona maneno Yao Hana fanana? Inakera sana
 
Back
Top Bottom