Meditisha na Taamuli ni uchawi mkubwa

Nilizoea na kupata utulivu mkumbwa sana wa akili ila sasa navuka mipaka na inaniletea madhara makubwa.
Nimekuwa na uwezo wa kuongea na roho nyingi na uwezo wa kutabiri na kujidhibiti kifikra.
Wahi milembe haraka sana.
 
habari, nikutoe wasi kuwa huo si uchawi bali ni uwezo na uunngu ulio ndani yako.
jiamini na utaweza kujicontrol au kama unapata tabu sana tafuta mtu mwenye uwezo au elimu ya juu kuliko wewe ili aweze kukusaidia pale unapokuwa ktk hali inayoweza kuhatarisha mazingira uliyopo( kwani siyo wote wenye imani hiyo au uwezo wa kuelewa)
ninakuhakikishia kuwa hakuna ubaya balini mtazamo wa watu tokana na elimu hiyo kufichwa kwa wengi sawa na twengi wanavyoamini kuwa kutumia dawa za asili ni shiriki baliza hospitali tu ndiyo sahihi! sam4peny@gmail.com naomba tuwasiliane kwa maelezo zaidi kama utapenda, nitumie email kwa subject yoyote inayohusu huu uziukiambaana na neno jamii forum au jf pia mawasiliano utayoona ni reliable kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…