Meditisha na Taamuli ni uchawi mkubwa

Meditisha na Taamuli ni uchawi mkubwa

habari, nikutoe wasi kuwa huo si uchawi bali ni uwezo na uunngu ulio ndani yako.
jiamini na utaweza kujicontrol au kama unapata tabu sana tafuta mtu mwenye uwezo au elimu ya juu kuliko wewe ili aweze kukusaidia pale unapokuwa ktk hali inayoweza kuhatarisha mazingira uliyopo( kwani siyo wote wenye imani hiyo au uwezo wa kuelewa)
ninakuhakikishia kuwa hakuna ubaya balini mtazamo wa watu tokana na elimu hiyo kufichwa kwa wengi sawa na twengi wanavyoamini kuwa kutumia dawa za asili ni shiriki baliza hospitali tu ndiyo sahihi! sam4peny@gmail.com naomba tuwasiliane kwa maelezo zaidi kama utapenda, nitumie email kwa subject yoyote inayohusu huu uziukiambaana na neno jamii forum au jf pia mawasiliano utayoona ni reliable kwako
Matapeli watupu humu hampati kitu
 
Acha kupotosha watu hapa mimi ni master wa meditation ulicho kizungumza kinajenga mtazamo mbaya kuhusu meditation ijapo kua swala la miujiza nikitu chakawaida kwakua unakua unakua umefungua lango la kiroho.
Kuhusu mengine yote yalio kaa katika mtazamo HASI👈 niuongo unao ueleza.
 
Mkuu una muda gani kwenye hii fani?
 
Habari zenu,

Nimekuja hapa kuomba msaada wa haraka.

Ni miaka miwili nipokwenye hizi ibada za meditisha na Taamuli .

Nilizoea na kupata utulivu mkumbwa sana wa akili ila sasa navuka mipaka na inaniletea madhara makubwa.
Nimekuwa na uwezo wa kuongea na roho nyingi na uwezo wa kutabiri na kujidhibiti kifikra.

Nimeshatabiria zaidi ya watu 4 kifo ikiwemo aliyenifundisha hii Taamuli ambaye ni BABU yangu. Sasa imefikia wakati nikiwa kwenye taamuli baada ya kuwasha mishumaa yangu katika mduara wa nyota nashindwa kujicontrol kama mwanzo nafanya vitu vingine vipya kama kutoa maneno madomoni nisiyojua maana yake.
Kuzidiwa na nguvu na mwili kukakamaa .

Kwa mwenye ujuzi wa Taamuli nawezaje kuacha?
Dr Strange Multiverse au sio...
Ngoja waje wanaojua
 
Mkuu una muda gani kwenye hii fani?
Muda mrefu nanizo groups zenye wanafunzi wengi tuu.
Kifupi kilicho tokea kwako nisababu za kimazingira ambapo hua unaingia kwenye mtego wafikra.
Hii huweza kuwafanya kuona vitu vinavyo weza kuwafadhaisha sana ila sababu nikwenda nj'e yalengo kuu.
Nilazima uweke fikra kwenye utulivu naudhibiti kila kitu kinacho ingia katika hiyo fikra.ukifeli kidogo hapo unaingia katika dimension nyingine kabisa.
 
Embu ukifanya tahamuli ukiwa na tunguli pembeni yako utafanya makubwa
 
Mtafute mtumishi wa Mungu wa Kweli aliye karibu Yako akusaidie kusajili upande wa WATAKATIFU,

Umwamini Yesu Kristo, awe BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA Yako, uwe mtu mpya, ya kale yapite ,uanze maisha mapya.

Ujazwe na Roho mtakatifu Ili hizo Roho zikutoke.

Ubarikiwe🙏
 
Habari zenu,

Nimekuja hapa kuomba msaada wa haraka.

Ni miaka miwili nipokwenye hizi ibada za meditisha na Taamuli .

Nilizoea na kupata utulivu mkumbwa sana wa akili ila sasa navuka mipaka na inaniletea madhara makubwa.
Nimekuwa na uwezo wa kuongea na roho nyingi na uwezo wa kutabiri na kujidhibiti kifikra.

Nimeshatabiria zaidi ya watu 4 kifo ikiwemo aliyenifundisha hii Taamuli ambaye ni BABU yangu. Sasa imefikia wakati nikiwa kwenye taamuli baada ya kuwasha mishumaa yangu katika mduara wa nyota nashindwa kujicontrol kama mwanzo nafanya vitu vingine vipya kama kutoa maneno madomoni nisiyojua maana yake.
Kuzidiwa na nguvu na mwili kukakamaa .

Kwa mwenye ujuzi wa Taamuli nawezaje kuacha?
Wewe umeshakua mchawi mapema sana kwa vile vingine unavyovifanya tofauti na iyo meditisha
 
Back
Top Bottom