Medvedev: Magharibi inatulazimisha kujibu uchokozi kwa nguvu

The Zanzibar Echo

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2025
Posts
490
Reaction score
838
Rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev amesema Magharibi kwa makusudi inavichochea vita kamili dhidi ya Urusi, na kuilazimisha kujibu kwa ukamilifu na ikiwa watalazimika, wataanzisha mashambulizi ya kujilinda.Medvedev amenukuliwa na shirika la habari la serikali ya Urusi, TASS akisema "Tunatakiwa kuchukua hatua zinazopaswa, kujibu kikamilifu na ikiwa tutalazimika kuanzisha mashambulizi ya kujilinda."

Medvedev, ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Usalama lenye ushawishi mkubwa nchini Urusi aidha amepuuzilia mbali taarifa zilizotolewa na maafisa wa Magharibi kwamba Urusi inaweza kuishambulia Ulaya, akisema ni upuuzi mtupu.

Amesisitiza kwamba Rais Vladimir Putin tayari ameeleza wazi kwamba Urusi haina lengo la kupambana na jeshi la Jumuiya ya Kujihami ya NATO ama kuishambulia Ulaya.

Mjini Kiev, taarifa zimesema mapema leo kwamba Urusi na Ukraine zimeendelea kushambuliana kwa droni usiku kucha wa kuamkia leo, na mashambulizi hayo yamewaua na kuwajeruhi watu waliopo mstari wa mbele wa pande zote mbili.
 
Kuna uwezekano Urusi ikakataza hata ndege za kirai kutua Ukraine... Pia maeneo ya mpakani mwa Ukraine na Poland yataanza kupekea moto mara kwa mara
 
Hi ya NATO kuwachezea kalio Russia umeitamka kwa ushabiki au facts?
Swali:
Leo hii US akipigana vita na nchi nyingine,je Russia anaweza akaipa makombora hio nchi ya kuipiga Washington au part yoyote Ile ya US?Na reaction ya USA itakuaje makombora/drones zitakapoipiga Washington?
 
Kihistoria Russia ni taifa lenye nguvu lakini halipendi ugomvi. So ni ngumu kujibu swali lako kwasababu za Kihistoria
 
Kwanini isiwezekane?
 
Hakuna jibu sio?
Tokea umezaliwa, lini ulisimsikia Russia anapigana na nchi nyingine zaidi ya hi ya Ukraine? Marekani na Uingereza je? Almost kila rais aliyeingia madarakani wa USA kapigana na taifa lingine; George Bush Sr alimpiga Saddam Hussein from February 1990 hadi March same year, previous president before Bush Sn alimpiga piga Gaddafi mwaka 1985, Clinton alijizuia zuia lakini nae alirusha sana Makombora Sudan/Somalia, alirusha pia Iraq kwa Saddam na aliongoza wana chama wa NATO kuipiga Cosovo. Bush Jr huyu kapigana vita 3 kali, Obama kampiga na kumuua Gaddafi but what about Russia? Hana historia hiyo, kuna watu wana nature hiyo, hawapendi ugomvi
 
Swali:
Leo hii US akipigana vita na nchi nyingine,je Russia anaweza akaipa makombora hio nchi ya kuipiga Washington au part yoyote Ile ya US?Na reaction ya USA itakuaje makombora/drones zitakapoipiga Washington?
Unawajua warusi vizuri ndugu?
Kwa michezo hiyo ya hicho unachokiuliza Urusi ndio Mwalimu Sasa.
Marekani akasome.
Unajua vita ya Vietnam silaha za Urusi ndio zilimkimbiza USA? Leo hii ulienda Vietnam kwenye makumbusho ya silaha zikizompiga USA zimejaa Mig na tank za Urusi pamoja na silaha nyingine kutoka Urusi,pamoja na silaha nyingine kutoka Mataifa mengine of course
Unajua watalaban walitumia AK 47 na RPG za Urusi?
Unawajua wasomali waliowakimbiza wamarekani silaha walizokua wanatumia ni AK 47.
Au umesahau huko Syria Wakati wa Bashar Al Assad.
 
Tokea umezaliwa, lini ulisimsikia Russia anapigana na nchi nyingine zaidi ya hi ya Ukraine? Marekani na Uingereza je? Almost kila rais aliyeingia madarakani wa USA kapigana na taifa lingine; George Bush Sr alimpiga Saddam Hussein from February 1990 hadi March same year, previous president before Bush Sn alimpiga piga Gaddafi mwaka 1985, Clinton alijizuia zuia lakini nae alirusha sana Makombora Sudan/Somalia, alirusha pia Iraq kwa Saddam na aliongoza wana chama wa NATO kuipiga Cosovo. Bush Jr huyu kapigana vita 3 kali, Obama kampiga na kumuua Gaddafi but what about Russia? Hana historia hiyo, kuna watu wana nature hiyo, hawapendi ugomvi
Hapana ndugu yangu,naomba nikusahihishe kidogo tu ili kuweka mambo sawa.
Urusi imepigana vita nyingi sana kibabe kuliko USA.
Urusi ni taifa la vita na kibabe sana,sema wengi hawakua wakiijua Urusi kwa sababu baada ya kuvunjika kwa USSR ilipoa kidogo.
Urusi imepigana vita nyingi mno bro.

Russia has been involved in numerous wars throughout its history, both as the Russian Empire and the modern Russian Federation. Some notable conflicts include the Mongol Invasions, Russo-Swedish Wars, Russo-Turkish Wars, Napoleonic Wars (including the Patriotic War of 1812), Crimean War, Russo-Japanese War, World War I, Russian Civil War, World War II (known as the Great Patriotic War), the Cold War, the Soviet War in Afghanistan, and the Chechen Wars. More recently, Russia has been involved in the Russo-Georgian War and the Russo-Ukrainian War, which includes the 2022 invasion of Ukraine.
 
Kihistoria Russia ni taifa lenye nguvu lakini halipendi ugomvi. So ni ngumu kujibu swali lako kwasababu za Kihistoria
Urusi imepigana vita nyingi mno,sio taifa jepesi,ni taifa la kibabe mno bro, vita nyingi wamekua wakiibuka washindi.
Urusi iliwahi Hadi kupeleka melivita zake huko New York kuisaidia Marekani katika harakati zake dhidi ya ukombozi kutoka katika ukoloni wa Uingereza.
Urusi ni wababe sana aisee.
Ndio maana west wote Wana hofu na taifa hilo.
 
Kihistoria Russia ni taifa lenye nguvu lakini halipendi ugomvi. So ni ngumu kujibu swali lako kwasababu za Kihistoria
Vita ya Korea miaka ya 50’s USA na NATO walikuwa upande wa South Korea na Russia na China walikuwa upande wa North Korea.

Vita ni biashara kubwa sana yenye hela kuliko biashara yoyote ulimwenguni. Bila ya kusahau USA sio mhusika wa ufadhili wa vita au Russia ni bankers na billionaires pamoja na makampuni makubwa.
 
Tokea umezaliwa, lini ulisimsikia Russia anapigana na nchi nyingine zaidi ya hi ya Ukraine? Marekani na Uingereza je? Almost kila rais aliyeingia madarakani wa USA kapigana na taifa lingine; George Bush Sr alimpiga Saddam Hussein from February 1990 hadi March same year, previous president before Bush Sn alimpiga piga Gaddafi mwaka 1985, Clinton alijizuia zuia lakini nae alirusha sana Makombora Sudan/Somalia, alirusha pia Iraq kwa Saddam na aliongoza wana chama wa NATO kuipiga Cosovo. Bush Jr huyu kapigana vita 3 kali, Obama kampiga na kumuua Gaddafi but what about Russia? Hana historia hiyo, kuna watu wana nature hiyo, hawapendi ugomvi
Simple tu, Washington ikishashambuliwa Leo reaction ya USA itakuaje?
 
Tokea umezaliwa, lini ulisimsikia Russia anapigana na nchi nyingine zaidi ya hi ya Ukraine? Marekani na Uingereza je? Almost kila rais aliyeingia madarakani wa USA kapigana na taifa lingine; George Bush Sr alimpiga Saddam Hussein from February 1990 hadi March same year, previous president before Bush Sn alimpiga piga Gaddafi mwaka 1985, Clinton alijizuia zuia lakini nae alirusha sana Makombora Sudan/Somalia, alirusha pia Iraq kwa Saddam na aliongoza wana chama wa NATO kuipiga Cosovo. Bush Jr huyu kapigana vita 3 kali, Obama kampiga na kumuua Gaddafi but what about Russia? Hana historia hiyo, kuna watu wana nature hiyo, hawapendi ugomvi
😀😀 Hawapendi ugomvi
 
Back
Top Bottom