Uko sahihi sana kaka, nimeanza hivi, "tokea umezaliea....." meaning, wanted him to recall on out generation. Hizo za miaka hiyo nazijua sana but nilijua angeleta ubishi. Kwa ufupi tu, is Russia ndio pia aliyeamua vita ya 2 ya dunia baada ya Hitler kuwaelemea sana Uingereza na rafiki yake Ufaransa so ni kweli (kama uliposema pale just) kwamba Russia ndio baba lao kwa hizi mambo, sema hapendi sana ugomvi kama WamarekaniHapana ndugu yangu,naomba nikusahihishe kidogo tu ili kuweka mambo sawa.
Urusi imepigana vita nyingi sana kibabe kuliko USA.
Urusi ni taifa la vita na kibabe sana,sema wengi hawakua wakiijua Urusi kwa sababu baada ya kuvunjika kwa USSR ilipoa kidogo.
Urusi imepigana vita nyingi mno bro.
Russia has been involved in numerous wars throughout its history, both as the Russian Empire and the modern Russian Federation. Some notable conflicts include the Mongol Invasions, Russo-Swedish Wars, Russo-Turkish Wars, Napoleonic Wars (including the Patriotic War of 1812), Crimean War, Russo-Japanese War, World War I, Russian Civil War, World War II (known as the Great Patriotic War), the Cold War, the Soviet War in Afghanistan, and the Chechen Wars. More recently, Russia has been involved in the Russo-Georgian War and the Russo-Ukrainian War, which includes the 2022 invasion of Ukraine.
Mwaka juzi China ilimpelekea huyo Washington PUTO tu. Yaani PUTO na lilielea pale for some few days, acha aliamshe, alitoa hadi F 35 kulipiga PUTO na still hakufanikiwa. Hakuna kitu USA anakihofia kama kupigana ndani ya nchi yakeSimple tu, Washington ikishashambuliwa Leo reaction ya USA itakuaje?
Utafikir ni mwenez wa ccmHuyo ana tofauti jakaya kwete wa huko.
Leo Washington ikishashambuliwa reaction yake itakuaje boss?Mwaka juzi China ilimpelekea huyo Washington PUTO tu. Yaani PUTO na lilielea pale for some few days, acha aliamshe, alitoa hadi F 35 kulipiga PUTO na still hakufanikiwa. Hakuna kitu USA anakihofia kama kupigana ndani ya nchi yake
Kubwa SanaLeo Washington ikishashambuliwa reaction yake itakuaje boss?
Itategemea na rais aliyepo madarakani, rais type ya Trump ni aina ya watu wenye maamuzi ya kukurupuka and hence ata take action immediately lakini marais type ya Oboma, Clinton kiasi fulani ni aina ya watu ambao kabla hawajafanya maamuzi huaga wanafikiria kwanza, watahusisha vyombo kadhaa like CIA, FBI na jeshi ili kujua taarifa walizo nazo kutoka kwa adui yao. I'm not sure kama unafahamu baada ya Osama kujulikana mahali alipojificha Obama na serikali yake walichukua muda gani hadi ku take action? Sijui pia kama unafahamu kuna one of the senior government official aliachia ngazi kwasababu Obama alilikataa pendekezo lake la kutaka kwenda kushambulia ghafla Pakistan katika mji wa Karach ambao ndio Osama alikua amejificha!? This is why pale ju nilikujibu kwamba, swali lako halina jibu la moja kwa moja; baadhi ya marais wa USA hutafakari kwanza kabla ya kuchukua hatua while wengine huchukua hatua haraka.Leo Washington ikishashambuliwa reaction yake itakuaje boss?
Kagombana na majirani karibia woteKihistoria Russia ni taifa lenye nguvu lakini halipendi ugomvi. So ni ngumu kujibu swali lako kwasababu za Kihistoria
Russia Waliivamia Afghanistan mwaka 1979 wakapigana vita vya miaka 10 mpaka 1989, uvamizi wa Russia ndio chanzo cha vurugu zote zinazoendelea Afghanistan mpaka leo hii.Tokea umezaliwa, lini ulisimsikia Russia anapigana na nchi nyingine zaidi ya hi ya Ukraine? Marekani na Uingereza je? Almost kila rais aliyeingia madarakani wa USA kapigana na taifa lingine; George Bush Sr alimpiga Saddam Hussein from February 1990 hadi March same year, previous president before Bush Sn alimpiga piga Gaddafi mwaka 1985, Clinton alijizuia zuia lakini nae alirusha sana Makombora Sudan/Somalia, alirusha pia Iraq kwa Saddam na aliongoza wana chama wa NATO kuipiga Cosovo. Bush Jr huyu kapigana vita 3 kali, Obama kampiga na kumuua Gaddafi but what about Russia? Hana historia hiyo, kuna watu wana nature hiyo, hawapendi ugomvi
Du, basi sawaKagombana na majirani karibia wote