The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 838
Hi ya NATO kuwachezea kalio Russia umeitamka kwa ushabiki au facts?Maneno mengi ya Nini, wafanye kweli.Nato inawechezea kalio wao wanalia Lia tu.Shusheni makombora wajue mko serious
Swali:Hi ya NATO kuwachezea kalio Russia umeitamka kwa ushabiki au facts?
Kihistoria Russia ni taifa lenye nguvu lakini halipendi ugomvi. So ni ngumu kujibu swali lako kwasababu za KihistoriaSwali:
Leo hii US akipigana vita na nchi nyingine,je Russia anaweza akaipa makombora hio nchi ya kuipiga Washington au part yoyote Ile ya US?Na reaction ya USA itakuaje makombora/drones zitakapoipiga Washington?
Kwanini isiwezekane?Swali:
Leo hii US akipigana vita na nchi nyingine,je Russia anaweza akaipa makombora hio nchi ya kuipiga Washington au part yoyote Ile ya US?Na reaction ya USA itakuaje makombora/drones zitakapoipiga Washington?
Hawawezi kujibu kwa nchi za NATO wanajua watachakaaManeno mengi ya Nini, wafanye kweli.Nato inawechezea kalio wao wanalia Lia tu.Shusheni makombora wajue mko serious
Hakuna jibu sio?Kihistoria Russia ni taifa lenye nguvu lakini halipendi ugomvi. So ni ngumu kujibu swali lako kwasababu za Kihistoria
Tokea umezaliwa, lini ulisimsikia Russia anapigana na nchi nyingine zaidi ya hi ya Ukraine? Marekani na Uingereza je? Almost kila rais aliyeingia madarakani wa USA kapigana na taifa lingine; George Bush Sr alimpiga Saddam Hussein from February 1990 hadi March same year, previous president before Bush Sn alimpiga piga Gaddafi mwaka 1985, Clinton alijizuia zuia lakini nae alirusha sana Makombora Sudan/Somalia, alirusha pia Iraq kwa Saddam na aliongoza wana chama wa NATO kuipiga Cosovo. Bush Jr huyu kapigana vita 3 kali, Obama kampiga na kumuua Gaddafi but what about Russia? Hana historia hiyo, kuna watu wana nature hiyo, hawapendi ugomviHakuna jibu sio?
Unawajua warusi vizuri ndugu?Swali:
Leo hii US akipigana vita na nchi nyingine,je Russia anaweza akaipa makombora hio nchi ya kuipiga Washington au part yoyote Ile ya US?Na reaction ya USA itakuaje makombora/drones zitakapoipiga Washington?
Hapana ndugu yangu,naomba nikusahihishe kidogo tu ili kuweka mambo sawa.Tokea umezaliwa, lini ulisimsikia Russia anapigana na nchi nyingine zaidi ya hi ya Ukraine? Marekani na Uingereza je? Almost kila rais aliyeingia madarakani wa USA kapigana na taifa lingine; George Bush Sr alimpiga Saddam Hussein from February 1990 hadi March same year, previous president before Bush Sn alimpiga piga Gaddafi mwaka 1985, Clinton alijizuia zuia lakini nae alirusha sana Makombora Sudan/Somalia, alirusha pia Iraq kwa Saddam na aliongoza wana chama wa NATO kuipiga Cosovo. Bush Jr huyu kapigana vita 3 kali, Obama kampiga na kumuua Gaddafi but what about Russia? Hana historia hiyo, kuna watu wana nature hiyo, hawapendi ugomvi
Urusi imepigana vita nyingi mno,sio taifa jepesi,ni taifa la kibabe mno bro, vita nyingi wamekua wakiibuka washindi.Kihistoria Russia ni taifa lenye nguvu lakini halipendi ugomvi. So ni ngumu kujibu swali lako kwasababu za Kihistoria
Vita ya Korea miaka ya 50’s USA na NATO walikuwa upande wa South Korea na Russia na China walikuwa upande wa North Korea.Kihistoria Russia ni taifa lenye nguvu lakini halipendi ugomvi. So ni ngumu kujibu swali lako kwasababu za Kihistoria
Simple tu, Washington ikishashambuliwa Leo reaction ya USA itakuaje?Tokea umezaliwa, lini ulisimsikia Russia anapigana na nchi nyingine zaidi ya hi ya Ukraine? Marekani na Uingereza je? Almost kila rais aliyeingia madarakani wa USA kapigana na taifa lingine; George Bush Sr alimpiga Saddam Hussein from February 1990 hadi March same year, previous president before Bush Sn alimpiga piga Gaddafi mwaka 1985, Clinton alijizuia zuia lakini nae alirusha sana Makombora Sudan/Somalia, alirusha pia Iraq kwa Saddam na aliongoza wana chama wa NATO kuipiga Cosovo. Bush Jr huyu kapigana vita 3 kali, Obama kampiga na kumuua Gaddafi but what about Russia? Hana historia hiyo, kuna watu wana nature hiyo, hawapendi ugomvi
😀😀 Hawapendi ugomviTokea umezaliwa, lini ulisimsikia Russia anapigana na nchi nyingine zaidi ya hi ya Ukraine? Marekani na Uingereza je? Almost kila rais aliyeingia madarakani wa USA kapigana na taifa lingine; George Bush Sr alimpiga Saddam Hussein from February 1990 hadi March same year, previous president before Bush Sn alimpiga piga Gaddafi mwaka 1985, Clinton alijizuia zuia lakini nae alirusha sana Makombora Sudan/Somalia, alirusha pia Iraq kwa Saddam na aliongoza wana chama wa NATO kuipiga Cosovo. Bush Jr huyu kapigana vita 3 kali, Obama kampiga na kumuua Gaddafi but what about Russia? Hana historia hiyo, kuna watu wana nature hiyo, hawapendi ugomvi