Medvedev: Magharibi inatulazimisha kujibu uchokozi kwa nguvu

Wajinga hawa wana nikera sana. Wana kaa na mabomu ya nuclear hadi yana expire wakiwa wanabwabwaja tu.
 
Uko sahihi sana kaka, nimeanza hivi, "tokea umezaliea....." meaning, wanted him to recall on out generation. Hizo za miaka hiyo nazijua sana but nilijua angeleta ubishi. Kwa ufupi tu, is Russia ndio pia aliyeamua vita ya 2 ya dunia baada ya Hitler kuwaelemea sana Uingereza na rafiki yake Ufaransa so ni kweli (kama uliposema pale just) kwamba Russia ndio baba lao kwa hizi mambo, sema hapendi sana ugomvi kama Wamarekani
 
Simple tu, Washington ikishashambuliwa Leo reaction ya USA itakuaje?
Mwaka juzi China ilimpelekea huyo Washington PUTO tu. Yaani PUTO na lilielea pale for some few days, acha aliamshe, alitoa hadi F 35 kulipiga PUTO na still hakufanikiwa. Hakuna kitu USA anakihofia kama kupigana ndani ya nchi yake
 
Mwaka juzi China ilimpelekea huyo Washington PUTO tu. Yaani PUTO na lilielea pale for some few days, acha aliamshe, alitoa hadi F 35 kulipiga PUTO na still hakufanikiwa. Hakuna kitu USA anakihofia kama kupigana ndani ya nchi yake
Leo Washington ikishashambuliwa reaction yake itakuaje boss?
 
Leo Washington ikishashambuliwa reaction yake itakuaje boss?
Itategemea na rais aliyepo madarakani, rais type ya Trump ni aina ya watu wenye maamuzi ya kukurupuka and hence ata take action immediately lakini marais type ya Oboma, Clinton kiasi fulani ni aina ya watu ambao kabla hawajafanya maamuzi huaga wanafikiria kwanza, watahusisha vyombo kadhaa like CIA, FBI na jeshi ili kujua taarifa walizo nazo kutoka kwa adui yao. I'm not sure kama unafahamu baada ya Osama kujulikana mahali alipojificha Obama na serikali yake walichukua muda gani hadi ku take action? Sijui pia kama unafahamu kuna one of the senior government official aliachia ngazi kwasababu Obama alilikataa pendekezo lake la kutaka kwenda kushambulia ghafla Pakistan katika mji wa Karach ambao ndio Osama alikua amejificha!? This is why pale ju nilikujibu kwamba, swali lako halina jibu la moja kwa moja; baadhi ya marais wa USA hutafakari kwanza kabla ya kuchukua hatua while wengine huchukua hatua haraka.
Mwaka 1998 wakati Osama kapiga balozi za Marekani hapa Tanzania na Kenya, rais wa USA alikua Bill Clinton, same day on night times alishambulia Somalia na Iraq kama kulipiza kisasi. But aliishia kupiga viwanda, na lilikua shambulio moja tu, hakurudia tena; why??? Reports za Intelligence zilimuonesha kwamba Osama alikua kaisha kimbia Somalia long time, hayupo; it took them time kuja kugundua kwamba Osama anaishi Afghanistan na sio Somalia anymore..., now you can see madhara ya kufanya maamuzi ya kukurupuka. Kumbuka enzi hizo, Iraq alikuwepo mwamba mwenyewe Saddam Hussein.
 
Russia Waliivamia Afghanistan mwaka 1979 wakapigana vita vya miaka 10 mpaka 1989, uvamizi wa Russia ndio chanzo cha vurugu zote zinazoendelea Afghanistan mpaka leo hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…