Meek Mill adai hamjui Harmonize kama ni msanii

Diamond ataendea kuwa msanii mwenye thamani kubwa by far, the rest wamekuwa cheap kiasi hichi Acha kazi yake ikutangaze kuliko kwenda dm ni kujidhalilisha huwezi ukawa ni msanii mkubwa ukawa unakesha kwenye dm za wasanii
Ndio falsafa ya Uchawa inavyo elekeza.
 
Wasanii wetu wamezoea mambo ya DM wakati huko mbele bila introduction kutoka kwa mtu wake wa karibu hupati kitu.
 
Nani kavujisha hii dm
 
Diamond ataendea kuwa msanii mwenye thamani kubwa by far, the rest wamekuwa cheap kiasi hichi Acha kazi yake ikutangaze kuliko kwenda dm ni kujidhalilisha huwezi ukawa ni msanii mkubwa ukawa unakesha kwenye dm za wasanii
Kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…