Meek Mill atamani Uraia wa Ghana akidai Marekani ina tabia ya kubomoa wanaume weusi

Meek Mill atamani Uraia wa Ghana akidai Marekani ina tabia ya kubomoa wanaume weusi

View attachment 2927150

BURUDANI Rapa Meek Mill wa Marekani ameweka wazi kuhusu kuutaka uraia wa Ghana baada ya kuchoshwa na vitendo vya kinyanyasaji kwa watu weusi nchini Marekani ikiwemo ulawiti uliokithiri kwa wanaume

Mill ameandika hayo kupitia mtandao wake wa X ambapo anadai anautaka uraia wa Ghana kwasababu Marekani ipo kwa ajili ya kuwabomoa wanaume weusi.

Kipindi cha hivi karibuni Meek Mill ametajwa kwenye skendo ya kushiriki mapenzi ya jinsia moja na Rapa P Diddy ambaye tayari ana kesi ya unyanyasaji wa kijinsia nchini Marekani.
Ni kweli 100% wanaume weusi wa marekani wamedesigniwa kuwapunguza uzao

kwasasa marekani inatumia ushoga kama njia ya kupunguza idadi ya watu weusi!!

nilikua najiuliza kwanini watu weusi lakini ndio wamejaa kwene industry ya porn za mashoga
 
Ogopa sana kuachwa na mwanamke mzuri ndio kinacho waumiza black usa wanakuwa kama vichaa
 
Kwkaifupi ni kwamba...Kwa mujibu wa kile kilichoripotiwa na XXL Mag, Diddy ndiye mhusika mkuu wa skendo nyingine ya vyombo vya habari iliyowahusisha pia Meek Mill na Usher. Diddy anakabiliwa na kesi ya unyanyasaji wa kijinsia na unyanyasaji iliyowasilishwa dhidi yake na mshiriki wa zamani Rodney "Lil Rod Madeit" Jones. Kwa hakika, faili la takriban kurasa 73 limefunguliwa dhidi ya Diddy na mtayarishaji Rodney “Lil Rod” Jones, ambapo anatuhumiwa kwa unyanyasaji wa kijinsia na unyanyasaji. Faili hilo pia linaripoti kuwa, wakati wa kurekodiwa kwa “The Love Album: Off The Grid” au albamu ya hivi punde zaidi ya Diddy, Jones alidaiwa kuwa mwathirika wa kundi la Diddy, alinyanyaswa, alishuhudia matumizi ya dawa za kulevya na angekuwa mwathirika wa ukatili wa kijinsia. . Hasa, Diddy, mwigizaji Cuba Gooding Jr, Yung Miami alimnyanyasa kijinsia mtayarishaji. Sehemu ya hati za kisheria zilizoonekana mtandaoni zinasomeka: “Bw. Combs alimfahamisha Bw. Jones kwamba alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na rapa huyo, mwimbaji wa R&B na Stevie J. Ingawa majina ya Meek Mill na Usher yalihifadhiwa, maelezo ya chini yaliyoambatanishwa yanapendekeza kwamba ni wao, kama yanavyofafanuliwa kwa maneno haya: “ Yeye ni rapa kutoka Philadelphia ambaye alichumbiana na Nicki Minaj" na "Alitumbuiza kwenye Superbowl na alikuwa na makazi yenye mafanikio huko Las Vegas
 
Waafrika ni watu wa mavurugu tukitengwa tunaona tunaonewa,kuhusu ushoga ni ulimbukeni tu kwani hata hao wazungu ni mashoga.Angalia nchi kama south africa,dominican rep,jamaica...ni vurugu hakuna ustaarabu.Viongozi wetu hovyo inasikitisha sana.
 
Meekmill ni real soldier wameamua tu kumchafua, jamaa amelaani sana hicho kitendo huko twitter na amesema atawataja watu ambao wapo nyuma ya hii skendo yupo tayari kufa, inaonekana kuna nguvu kubwa ipo kwa ajili ya kuchafua black image!
 
Wanakuwa kama wamepagawa hv

Yes wenge la pesa ,abuses kibao wanafanya! Angalia blacks waliofanikiwa wamewanyanyasa sana wake zao na kuachana ,baada ya kuachana ni mipombe/midawa na ufirauni wanafanya na mabinti under age....Wakija kushitakiwa wanasema kwamba wanaonewa ,we fikiria Rkelly alikuwa na Aaliyah nadhani by then Aaliyah alikuwa na 13 yrs.
 
Nimeona hadi burna boy nae katajwa kwenye hiyo list nae katolewa uwanaume
Kwahiyo tunaona watu wanafanya corabo na wakubwa na kupaishwaaaaa, kumbe wanauza maliasili?😆😅😂
 
Ni kweli 100% wanaume weusi wa marekani wamedesigniwa kuwapunguza uzao

kwasasa marekani inatumia ushoga kama njia ya kupunguza idadi ya watu weusi!!

nilikua najiuliza kwanini watu weusi lakini ndio wamejaa kwene industry ya porn za mashoga
Bullshit.
 
huyuu jamaa si nae yumo katika waliofumuliwa na Bwana Ali Msomali? Sasa anailaumu marekani kwa kipi na wanafumuana wenyewe kwa wenyewe
 
Asee wanabomolewa,,jamaa alibomolewa na diddy au diddy ndo alimbomoa
 
Back
Top Bottom