JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
Uhuru na uwezo wa fikra.Kwamba hapa Tanzania career yako itaharibika kisa nudes?
Wapo wengi ambao video na picha zao zilionwa na hadhara ila hadi leo wapo na maisha yao wengine wana hadi ubalozi
Kama unaona hakuna tatizo wala madhara utupu wako ukizagaa kwenye jamii ni sawa ila sheria za nchi haziruhusu na adhabu zipo hayo ni madhara tosha.