Meena Ally anaendaje Polisi kushitaki wakati ameishaikana video?

Meena Ally anaendaje Polisi kushitaki wakati ameishaikana video?

Status
Not open for further replies.
Nipeni Picha Ya Huyo Meena Nilinganishe na Hii Video niliyonayo.
 
Kuna mambo unaweza shindwa elewa yanaendaje hapa nchini

Mimi nimewaza kua Meena Ally kasema ile video sio yake na kasema huyo dada anafananishwa na yeye ila sio yeye.

Swali la kujiuliza ni kwamba Kama huyo mwenye video sio yeye Sasa yeye kafungua kesi ya nin polisi kuhusu hiyo video?

Anataka polisi wamkamate mtu ambae yeye hamjui ili apate faida gan?

Kwanin ahangaike kwenda polisi kwa jambo ambalo sio lake na hata hajui alielitenda?

Kwanin ajipe stress mitandaoni kwa kujibishana na watu wakati hiyo inshu sio yake?.

Why asitulie tu aendelee na maisha mengine mpaka serikali itakapo mfata yenyewe, kwanin ajikimbize polisi kujitetea kua sio yeye bila kuitwa??

Tanzania ina vituko sana

Sent using Jamii Forums mobile app
anataka asihusishwe na hyo video, na alieisambaza akamatwe kwa kumchafulia jina
 
Kuna mambo unaweza shindwa elewa yanaendaje hapa nchini

Mimi nimewaza kua Meena Ally kasema ile video sio yake na kasema huyo dada anafananishwa na yeye ila sio yeye.

Swali la kujiuliza ni kwamba Kama huyo mwenye video sio yeye Sasa yeye kafungua kesi ya nin polisi kuhusu hiyo video?

Anataka polisi wamkamate mtu ambae yeye hamjui ili apate faida gan?

Kwanin ahangaike kwenda polisi kwa jambo ambalo sio lake na hata hajui alielitenda?

Kwanin ajipe stress mitandaoni kwa kujibishana na watu wakati hiyo inshu sio yake?.

Why asitulie tu aendelee na maisha mengine mpaka serikali itakapo mfata yenyewe, kwanin ajikimbize polisi kujitetea kua sio yeye bila kuitwa??

Tanzania ina vituko sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kesi ya kudhalilishwa ile video imeambatana na jina lake na kuwafanya watu waamini ni yeye.
Kwani ikisemekana wewe umeiba ukakana kuwa hujaiba hauruhusiwi kumchukulia hatua aliefanya hivyo?
 
Huyo Binti anayejadiliwa hapa ndio nani?

Mleta mada umeandika kama vile wote tunamjua huyo muhusika!
 
.
FB_IMG_16425831800536975.jpg
 
Ila haya Mambo yanashika chart sana hapa kwetu, tunapoelekea ni kubaya sana unaweza kukuta ni Dada yako, mdogo wako n.k
Ni vizuri aende polisi ili video isisambae zaidi , Mambo ya faragha yabaki huko
 
Hata wa mirinda alisema sio yeye na ambaruty hivyo hivyo

Ifike mahali waache kuwachezea polisi wana mambo mengi ya kufanya kuliko huu ujinga, ushawahi ona wapi mtu anakamatwa?
Atulie basi au kama vipi atupe part two
Hata Harmonize na Menina mwanzo wazikana clips zao, aendelee tu afungue mashtaka ili hiyo clip izidi kuwa popular.
 
Anaenda polisi kushitaki kwasababu hiyo video mnayotumiana imeambatanishwa na majina yake pamoja na jina la kampuni anayofanyia kazi.
 
Kwenye ile video clip sio yeye. Kuna mambo kwa yeye hawezi fanya kwa kuangalia hata kama angetaka kujirekodi au imerekodiwa kwa siri.

Kuna wahindi weusi wengi au wale wahindi wa wa misitu ya amazon wanafanana sana.

Ile video ilirekodiwa na mtu mwingine wa pembeni aliyekuwa anashuhudia ule mchezo. Kwa akili ya kawaida huyo binti hata awe kichaa hawezi kubali aingie mtu mwingine kwenye faragha yao halafu arekodi.

Kuna sehemu wakati shoo ya kunyonywa inaendelea ile clip ilionyesha mtu anaongeza volume. SIO YEYE

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Unatumia uongo kijinga sana, clip ilivyorekodiwa inaonekana camera ilikuwa imetegeshwa or rather imefichwa probably pasina mmoja wa wahusika kufahamu kinachoendelea.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom