Meena Ally anaendaje Polisi kushitaki wakati ameishaikana video?

Status
Not open for further replies.
Nipeni Picha Ya Huyo Meena Nilinganishe na Hii Video niliyonayo.
 
anataka asihusishwe na hyo video, na alieisambaza akamatwe kwa kumchafulia jina
 
Kesi ya kudhalilishwa ile video imeambatana na jina lake na kuwafanya watu waamini ni yeye.
Kwani ikisemekana wewe umeiba ukakana kuwa hujaiba hauruhusiwi kumchukulia hatua aliefanya hivyo?
 
Huyo Binti anayejadiliwa hapa ndio nani?

Mleta mada umeandika kama vile wote tunamjua huyo muhusika!
 
Ila haya Mambo yanashika chart sana hapa kwetu, tunapoelekea ni kubaya sana unaweza kukuta ni Dada yako, mdogo wako n.k
Ni vizuri aende polisi ili video isisambae zaidi , Mambo ya faragha yabaki huko
 
Hata wa mirinda alisema sio yeye na ambaruty hivyo hivyo

Ifike mahali waache kuwachezea polisi wana mambo mengi ya kufanya kuliko huu ujinga, ushawahi ona wapi mtu anakamatwa?
Atulie basi au kama vipi atupe part two
Hata Harmonize na Menina mwanzo wazikana clips zao, aendelee tu afungue mashtaka ili hiyo clip izidi kuwa popular.
 
Anaenda polisi kushitaki kwasababu hiyo video mnayotumiana imeambatanishwa na majina yake pamoja na jina la kampuni anayofanyia kazi.
 
Unatumia uongo kijinga sana, clip ilivyorekodiwa inaonekana camera ilikuwa imetegeshwa or rather imefichwa probably pasina mmoja wa wahusika kufahamu kinachoendelea.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…