Meena Ally anaendaje Polisi kushitaki wakati ameishaikana video?

Status
Not open for further replies.
Unatumia uongo kijinga sana, clip ilivyorekodiwa inaonekana camera ilikuwa imetegeshwa or rather imefichwa probably pasina mmoja wa wahusika kufahamu kinachoendelea.
Mbona unakuwa na hasira kwenye mambo ya kipuuzi mkuu.

Kwa hiyo ilikuwa imetegeshwa hadi kujiongeza sauti? Maana kuna sehemu wale wawili wanaendelea na shughuli yao huku alama ya audio inaoneka ikiongezwa? Kwa hiyo jamaa alimficha wa kumrekodi?

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
It's one of the possibilities, hakuna aujuaye ukweli.
Na huwa unatumia kipimo gani kumpima 'hasira' mtu usiyemfahamu? Iwe kweli au isiwe kweli hakuna inayempunguzia kitu wala kumuongezea kitu isipokuwa yeye mwenyewe labda na ndugu zake wanaompenda kwa dhati. Ni uzwazwa pale mtu anapojifanya ana uhakika na lolote kwenye hiyo clip husika.
 
Uzwazwa ni kutumia nguvu na maneno mbofumbofu kuthibitisha jambo. Huna sababu ya kutumia lugha ngumu ili ueleweke mkuu.

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Sababu kuna video imeeditiwa na imeandikwa jina lake. Anataka hao waliofanya hivyo wakamatwe. Yupo sahihi, clouds wamsaidie na wengine pia tumsaidie huyu binti kuokoa carrier yake kulingana na nafasi zetu. Kama kasema si yeye basi sio yeye.
Ni yeye
 
Ila Meena kana pussy imelegea sana
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…