Kaharibu nini sasa????Ana kipaji cha utangazaji kwa kweli...na sauti yake ni ya kipekee...ila kwnye kuchekesha anaboa kuliko maelezo...na hlo tangazo la tgo ndo kaharibu kabisaa
We jamaa bwana,Kiukweli hyu mtangazaji anaboa sana, na anavichekesho vinavyokera sana badala ya kuchekesha, kuna matangazo yake ya tigo clouds mara sijui mimi ni katibu wa harusi ya mwanao, mara bla bla bla nyingi ambazo wala hazichekeshi.
Wenye connection nae mwambien anakera ajaribu kutafuta style kama anataka kuchekesha.
Sawa leprofeseriiiWe jamaa bwana,
Wajua u hater na uchawi ndo waanzaga hivi
Kwa maelezo yako, inaonekana wamfwatilia sanahh, maana wajua kila kitu anafanya.
Sa ungekuwa hupendi usingemwangalia ila upo huku waleta unafiki[emoji28][emoji28][emoji28]
Kama alikupiga chini bwanaaa we pambana na hamu zako chaliii
Acha wivu wa kijinga
Ha ha, kweli mkuu mm kiukweli ananiboa sana lkn nitaaplay hyo mbinuMkuu ni simple tu, mimi katika watangazaji nisio wapenda nchi hii basi diva wa clouds simpendi yule dada, yani kuanzia sura kama andazi lililotiwa hamira, sauti mbaya, na vile anavyo jisifu namchukia sana yule dada Mungu anisamehe. So ninacho kifanya ni kuwa, kipindi chake sikifuatilii hata kwa bahati mbaya, nikiona hata uzi wake jf umeandikwa Diva hata ukisema amekufa mi nauskip tu, huko insta nikiona sura yake kwe post nahisi kutapika hvyo hata sitaki kujua kimeandikwa nini juu yake mi na skip...
Fanya kama mimi maisha yatakua rahisi sana...
But mim nampenda sana Meena.
Karibu kwenye ulimwengu wa chuki za wazi
Bora ata umeliona hilo mkuu, nashangaa wadau wananiwakia utadhan nimemuuaAna kipaji cha utangazaji kwa kweli...na sauti yake ni ya kipekee...ila kwnye kuchekesha anaboa kuliko maelezo...na hlo tangazo la tgo ndo kaharibu kabisaa
Alafu its too fake...hivi bongo hii Watu walivyopinda ukosee namba alafu Mtu akusikilize tu na miswali swali yako.Ana kipaji cha utangazaji kwa kweli...na sauti yake ni ya kipekee...ila kwnye kuchekesha anaboa kuliko maelezo...na hlo tangazo la tgo ndo kaharibu kabisaa
Kiukweli huyu mtangazaji anaboa sana, na anavichekesho vinavyokera sana badala ya kuchekesha, kuna matangazo yake ya tigo clouds mara sijui mimi ni katibu wa harusi ya mwanao, mara bla bla bla nyingi ambazo wala hazichekeshi.
Wenye connection nae mwambieni anakera ajaribu kutafuta style kama anataka kuchekesha.
Ko kijana umeshindwa kutofautisha kati ya matangazo na utangazajiKiukweli huyu mtangazaji anaboa sana, na anavichekesho vinavyokera sana badala ya kuchekesha, kuna matangazo yake ya tigo clouds mara sijui mimi ni katibu wa harusi ya mwanao, mara bla bla bla nyingi ambazo wala hazichekeshi.
Wenye connection nae mwambieni anakera ajaribu kutafuta style kama anataka kuchekesha.
HahahaMtu ukiwa na stress unaweza kuona mr bean anahubiri tu
Kiukweli huyu mtangazaji anaboa sana, na anavichekesho vinavyokera sana badala ya kuchekesha, kuna matangazo yake ya tigo clouds mara sijui mimi ni katibu wa harusi ya mwanao, mara bla bla bla nyingi ambazo wala hazichekeshi.
Wenye connection nae mwambieni anakera ajaribu kutafuta style kama anataka kuchekesha.