Meena Ally, mtangazaji anayeboa kuliko wote

Meena Ally, mtangazaji anayeboa kuliko wote

Write your reply...Kama wew hajakuchekesha, kausha Kuna wenzko wanacheka,

mm namkubali Sana meena Ally, 👏👏
 
Ana kipaji cha utangazaji kwa kweli...na sauti yake ni ya kipekee...ila kwnye kuchekesha anaboa kuliko maelezo...na hlo tangazo la tgo ndo kaharibu kabisaa
Kaharibu nini sasa????
 
Kiukweli hyu mtangazaji anaboa sana, na anavichekesho vinavyokera sana badala ya kuchekesha, kuna matangazo yake ya tigo clouds mara sijui mimi ni katibu wa harusi ya mwanao, mara bla bla bla nyingi ambazo wala hazichekeshi.

Wenye connection nae mwambien anakera ajaribu kutafuta style kama anataka kuchekesha.
We jamaa bwana,
Wajua u hater na uchawi ndo waanzaga hivi
Kwa maelezo yako, inaonekana wamfwatilia sanahh, maana wajua kila kitu anafanya.
Sa ungekuwa hupendi usingemwangalia ila upo huku waleta unafiki[emoji28][emoji28][emoji28]
Kama alikupiga chini bwanaaa we pambana na hamu zako chaliii
Acha wivu wa kijinga
 
Sawa leprofeseriii
 
Mkuu ni simple tu, mimi katika watangazaji nisio wapenda nchi hii basi diva wa clouds simpendi yule dada, yani kuanzia sura kama andazi lililotiwa hamira, sauti mbaya, na vile anavyo jisifu namchukia sana yule dada Mungu anisamehe. So ninacho kifanya ni kuwa, kipindi chake sikifuatilii hata kwa bahati mbaya, nikiona hata uzi wake jf umeandikwa Diva hata ukisema amekufa mi nauskip tu, huko insta nikiona sura yake kwe post nahisi kutapika hvyo hata sitaki kujua kimeandikwa nini juu yake mi na skip...

Fanya kama mimi maisha yatakua rahisi sana...

But mim nampenda sana Meena.

Karibu kwenye ulimwengu wa chuki za wazi
Ha ha, kweli mkuu mm kiukweli ananiboa sana lkn nitaaplay hyo mbinu
 
Ana kipaji cha utangazaji kwa kweli...na sauti yake ni ya kipekee...ila kwnye kuchekesha anaboa kuliko maelezo...na hlo tangazo la tgo ndo kaharibu kabisaa
Bora ata umeliona hilo mkuu, nashangaa wadau wananiwakia utadhan nimemuua
 
Naye akanena "Basi kila mtu afungue Uzi Wa kitu au mtu asiyempenda"
 
Ana kipaji cha utangazaji kwa kweli...na sauti yake ni ya kipekee...ila kwnye kuchekesha anaboa kuliko maelezo...na hlo tangazo la tgo ndo kaharibu kabisaa
Alafu its too fake...hivi bongo hii Watu walivyopinda ukosee namba alafu Mtu akusikilize tu na miswali swali yako.

Hiyo mitusi utakayoporomoshewa utakuwa unahakiki namba mara kumi kabla hujapiga.
 
Kiukweli huyu mtangazaji anaboa sana, na anavichekesho vinavyokera sana badala ya kuchekesha, kuna matangazo yake ya tigo clouds mara sijui mimi ni katibu wa harusi ya mwanao, mara bla bla bla nyingi ambazo wala hazichekeshi.

Wenye connection nae mwambieni anakera ajaribu kutafuta style kama anataka kuchekesha.

Mkuu hayo ni maoni yako sio mbaya

For me huyo ndiyo mtangazaji bora wa mwaka 2018

NB:kama anakuboa achakumsikiliza

Kwaheri!!!
 
Mwenye no yake ya simu ani PM tuyajenge na meena.
 
Napenda kanavyojitambulisha jina lake
 
Hebu wekeni picha tumjue nasisi wengine ambao hatusikilizagi redio wala kuangalia televisheni
 
Hii tabia ya Clouds kuingiza wadada kwenye vipindi ambavyo tayari vishasimama sijui wanaitoleaga wapi..Example

PowerBreakfast on Saturday; kuna mdada anaitwa lusy hovyo kabisa

Amplifaya;Mina ally anamfanya millard asiwe confortable kabisa na at the same time anaboa sana

BongoFleva;Kayla sijiu nani,hakuna kitu kabisa anaharibu tu kipindi
 
namwelewa na kumpenda sana.. she is real
.. ni nadra sana kuwapata wanawake wa mjini wenye tabia kama zake.. yupo safii.. jaribu kumfuatia zaidi mkuu.. ingia youtube tazama video zake.. utaelewa nasema nini...
 
Simpendagi hata kidogo, yeye mwenyewe anajionaga anachekesha kumbe wengine anatuboa tu, huyu ndo aliharibu kipindi bora cha Amplifaya, sahivi sitaki hata kukisikiliza
 
Kiukweli huyu mtangazaji anaboa sana, na anavichekesho vinavyokera sana badala ya kuchekesha, kuna matangazo yake ya tigo clouds mara sijui mimi ni katibu wa harusi ya mwanao, mara bla bla bla nyingi ambazo wala hazichekeshi.

Wenye connection nae mwambieni anakera ajaribu kutafuta style kama anataka kuchekesha.
Ko kijana umeshindwa kutofautisha kati ya matangazo na utangazaji
Afu huwezi kujua pia kuwa yuko kwenye kipindi cha usiriaz na sio comedy ..so ndo maana hakuchekeshi
 
Meena namuelewa sana kwa kila kitu katika utangazaji hadi vinginevyo
 
Huu uzi aliyeuanzisha naona atakua anauchungulia tu kwa mbaaaali!
Hizi comments unaweza ukajinyonga
 
Kiukweli huyu mtangazaji anaboa sana, na anavichekesho vinavyokera sana badala ya kuchekesha, kuna matangazo yake ya tigo clouds mara sijui mimi ni katibu wa harusi ya mwanao, mara bla bla bla nyingi ambazo wala hazichekeshi.

Wenye connection nae mwambieni anakera ajaribu kutafuta style kama anataka kuchekesha.

Yafanye Masikio yako yajiepushe nae
 
Back
Top Bottom