Meena Ally wa Clouds media na Aaliyah Mohammed wa Wasafi media yupi ni Presenter Mkali?

Meena Ally wa Clouds media na Aaliyah Mohammed wa Wasafi media yupi ni Presenter Mkali?

kajamaa kadogo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2018
Posts
2,707
Reaction score
6,437
Tasnia ya habari hasa upande wa Ma-presenter wa kike naona bado hakuna wale wa kukiwasha sana atleast hawa wawili wamejitahidi sana pia wana-knowlegde ya mambo mengi tofauti na wengi

Mwana Jamiiforums yapii maoni yako kwenye ili yupi ni mkali hapa 🎤 🎙️

Meena Ally.jpg

Meena Ally(Clouds FM)

Screenshot_20240727-140506_1.jpg

Aaliyah Mohammed(Wasafi FM)
 
Baby shark doo doo doo doo doo baby shark doo doo doo doo doo baby shark
 
Wote wapo sawa tu japo Aliyaah kajiweka kizungu sana Ila mina anaweza kwenda sawa na content za wazungu na waswahili na ukomedi wake...
mkuu yupo unamuelewa sana in deep
 
Back
Top Bottom