kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,707
- 6,437
- Thread starter
- #41
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwahiyo sweety unataka kusema Aailyah ni mnoma🔥🔥🔥AliyAah anajua anajua
sema unajua nini mimi naona lazima mmoja hapa Atakuwa ni mkali sana subiri tungoje wadauWote
Mamy Baby Mke Wa Yule Katibu Haa HaaWote wapo vizuri
Ila kuna ile kipaji Kama mamy baby
Dear Ex ni kwako au kwa bwana almasiNamuona dear-EX kwenye moja na mbili, akimkalisha huyo pembawise.
Hallelujah!!!
Nakuakikishia mamy baby haingii kwa hao viumbe ni 🔥🔥🔥🔥Wote wapo vizuri
Ila kuna ile kipaji Kama mamy baby
Wewe unamakwapa mawili na wao wako wawili kila mmoja mfungulie kwapa lako akunyoe kisha utajua nani mkali zaidi ya mwingine.Tasnia ya habari hasa upande wa Ma-presenter wa kike naona bado hakuna wale wa kukiwasha sana atleast hawa wawili wamejitahidi sana pia wana-knowlegde ya mambo mengi tofauti na wengi
Mwana Jamiiforums yapii maoni yako kwenye ili yupi ni mkali hapa 🎤 🎙️
mimi bwana sijuhi ni yupi vipi weweWewe ni yupi kati ya hao.?
🤣🤣🤣🤣🤣Wewe unamakwapa mawili na wao wako wawili kila mmoja mfungulie kwapa lako akunyoe kisha utajua nani mkali zaidi ya mwingine.
AaliyahChukua zote
View attachment 3053659
Meena Ally namuelewa sio utangazaji tu nikiambiwa kati ya hao yupi nizae nae naenda na Meena Allymkuu yupo unamuelewa sana in deep
😂😂😂😂 Mammy shark dooo doooo doooo mammy shark dooo dooo dooooo mammy shark doooo doo doo let's go it doo doo doo lets go itBaby shark doo doo doo doo doo baby shark doo doo doo doo doo baby shark