kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,707
- 6,437
maoni yako mkuuBhiza ndigombeyeπ€£π€£
Sindio hayo chief ππmaoni yako mkuu
Zishatumika mkuu lete nyingine tutakwangua wenyeweChukua zote
View attachment 3053659
hiko ni kilugha ganiSindio hayo chief ππ
Iyo lugha ya taifa la Bongo chiefhiko ni kilugha gani
mkuu yupo unamuelewa sana in deepWote wapo sawa tu japo Aliyaah kajiweka kizungu sana Ila mina anaweza kwenda sawa na content za wazungu na waswahili na ukomedi wake...
Aaliyah naweza kusema yeye ndiye Icon wa kwanza wa fresh news pale wasafi but now The switch ni kipindi kipo hapo hapo wasafiAaliyah anahost kipindi gani hapo usafini?
Hakuna kati yao, nikiwasikiliza naona ni sawa, nisipowasikiliza ni sawa pia.. Yani hakuna kati yao ambaye naweza kuingia YouTube ili nione contents zakemkuu yupo unamuelewa sana in deep