Meena Ally wa Clouds media na Aaliyah Mohammed wa Wasafi media yupi ni Presenter Mkali?

Huu uzi wako ungeuliza kufuga kuku wa kisasa na kuku wa kienyeji kipi ni kizuri ungeleta maana.

Mchana wote huu unajadili watu kijana?
Kwahiyo mkuu kuku wewe ndo unaona ni muhimu 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wote wapo sawa tu japo Aliyaah kajiweka kizungu sana Ila mina anaweza kwenda sawa na content za wazungu na waswahili na ukomedi wake...
Meena hana kipaji cha ukomedi ana kelele nyingi sana ambazo hazihitajiki na sauti lake kama dume.

Hata Millard alikuwa anamvumilia tu kwenye amplifaya alikuwa anaboa sana

Sijui bado yupo naye kwa amplifaya. Nilishaachana na kusikiliza tawi la CCM, Clouds Media

Kwa kifupi Meena hawezi kufanya anachofanya Aaliyah kwenye suala la entertainment Aaliyah ni full package
 
kwahiyo Aaliyah ni full package mkuu
 
Walimtoa niambie wakampeleka amplifaya, kipindi ambacho kinahitaji mtu aliyechangamka lakini bado ana utulivu na class flani kama Frida amani.

Wamempeleka XXL, naona kule amefit vizuri sanaaa .

Aliyaah yupo vizuri lakini ni kama bidhaa inayotumika kwa kitu kimoja ndio maana meena ana uwanda mpana zaidi kwenyw kazi yake. Kuanzia kwenye entertainment, social works na corporate spaces Ila Aliyaah yawezekana akajitahidi lakini bado hajafit
 
mkuu who is the best japo kwa kidogo
 
Aaliyah yawezekana akajitahidi lakini bado hajafit 🤔🤔🤔🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…