Halafu mkuu mbona hauonekani tena kule jukwaa la dini!?Frank Schaeffer is an atheist who believes in God. Kuna aina mpya ya atheist siku hizi,wanaamini mungu.wanaamini maisha yametokana na evolution from natural selection.
Kuna mwingine anaitwa ali sina,unaweza kumsoma kwenye alisina.org au international faith freedom.com. Yeye anasema anamwamini mungu,anaamini evolution, anampenda yesu ila biblia sio neno la mungu bali ni kama mgodi wa dhahabu wenye mchanga mwingi ila dhahabu kidogo.
Zaidi unaweza soma hapa chini kuhusu Frank Schaeffer.
Meet an atheist who believes in God. CNN
Halafu mkuu mbona hauonekani tena kule jukwaa la dini!?
Njoo kaka tuendelee na ile ya Ellen G. White...Nipo kaka. Sema naona mko bize naile mada ya papa sio mpinga kristo,alafu nimekuta mko page karibu ya 100 nikashndwa nianzie wapi maana comments ni nyingi na karibu zote zinanigusa. Nimeamua kutulia niangalie.
Sure,soma mada yake ya accepting jesus what about the bible.
Anasema hakumjua yesu kupitia biblia maana biblia ni kitabu cha hadith,mtu yeyote mwenye akili akisoma biblia lazima atakua atheist. Kwamba kumpokea yesu kama mwokozi wako sio lazima usome biblia.
Jaribu kusoma mada zake utamuelewa,yuko vizuri kuelezea uwepo wa roho kwa kutumia sayansi,quantum physics.
Duh! Dunia ina mahangaiko si kidogo......
Ali Sina mwanzoni alikuwa ni Muislam,baadae akaachana na dini hiyo kwa madai kuwa ni dini ya mauwaji na hata mtume wake ni mbakaji
Baada ya miaka kupita alikuja kupata ushahidi wa maisha baada ya kifo na hivyo kuthibitisha uwepo wa Mungu,ila hakuwa anasema "aina" ya Mungu anaekubaliana nae,so akawa theist kwa muktadha huo
Sasa amekuja na kusema kuwa anamkubali Yesu lakini hiyo haina maana kuwa Biblia iko sahihi
Kikubwa zaidi ambacho amekuwa akisema ni kuwa yeye ni "mtafutaji wa ukweli" popote na muda wowote akiupata ukweli hatosita kuukubali
Hilo naweza kulithibitisha kutokana na alikotoka na alipo sasa
Tumuombee kwani iko siku atakuja kukiri kuwa Biblia ni neno la Mungu!
Nimemsoma sana sana huyu jamaa, ni very clever.Anajua pia mziki wa mauaji wa communism,na other atheistic cults kaona christianity ni Peaceful na ilikuwa hivyo tokea kwa Yesu mwenyewe.Christiani na Judaism ndio wanaendesha dunia ktk ustaarabu na uhai wa binadamu.Kuna sehemu kaongelea sana power of hope.Hapo ndipo kaona jinsi gani ulaya ilijengwa na watu wenye hope.Na ugaidi unapoishi ktk wasio na hope ya kuishi,wanakimbilia kufa.Wanaoto watoto wao wafe.kaona dini liyotoka inawataka watu wafe kwa ajili ya Nabii,na dini na si Nabii afanya kazi yake a risk kila kitu ili kuwaokoa na kuwafanya watu huru.Kaona kwanini hamasi wanakaa nyuma ya wanawake na watoto,wakati Ukristu na Uyahudi.Aksari wanakaa mbele ya watoto na wanawake.Sure,soma mada yake ya accepting jesus what about the bible. Anasema hakumjua yesu kupitia biblia maana biblia ni kitabu cha hadith,mtu yeyote mwenye akili akisoma biblia lazima atakua atheist. Kwamba kumpokea yesu kama mwokozi wako sio lazima usome biblia. Jaribu kusoma mada zake utamuelewa,yuko vizuri kuelezea uwepo wa roho kwa kutumia sayansi,quantum physics.
Off course Kumkataa Yesu kwa hoja ni ngumu sana.Hata Atheism(Free thinkers) huwa wanashtuka wakikutaYesu anasema IJUE KWELI NA KWELI IKUWEKE HURU.sasa hapo wanajikuta njia pekee ya kukataa Ukristu ni kumtenganisha Yesu na Bible.Ila sidhani km anaweza sema hakusoma na kufunguliwa na Biblia.Nadhani alipofikia sasa hivi anaogopa kuwa Debunked na Waislam akitangaza kuwa keshupenda Ukristu wa Yesu.Wapo philosopher waliomtoa Yesu ktk theism na kumpa sifa kibao zabusara, uanamapinduzi,mwalimu na kiongozi aliyesimamia kweli na haki,aliyeishi kwa mifano na ukombozi wa wa wayahudi toka kwa Warumi,mwanasiasa etc ..ila wakakwamba walipotakiwa kuamua kimoja kumwita mwongo,kichaa au kukubali alichikiri na kusema kuwa ni mwana wa Mungu na Mungu.Kuwa alikuwepo kabla ya Abarahamu.Sasa hapo wakagawanyika sana.Ali Sina mwanzoni alikuwa ni Muislam,baadae akaachana na dini hiyo kwa madai kuwa ni dini ya mauwaji na hata mtume wake ni mbakaji Baada ya miaka kupita alikuja kupata ushahidi wa maisha baada ya kifo na hivyo kuthibitisha uwepo wa Mungu,ila hakuwa anasema "aina" ya Mungu anaekubaliana nae,so akawa theist kwa muktadha huo Sasa amekuja na kusema kuwa anamkubali Yesu lakini hiyo haina maana kuwa Biblia iko sahihi Kikubwa zaidi ambacho amekuwa akisema ni kuwa yeye ni "mtafutaji wa ukweli" popote na muda wowote akiupata ukweli hatosita kuukubali Hilo naweza kulithibitisha kutokana na alikotoka na alipo sasa Tumuombee kwani iko siku atakuja kukiri kuwa Biblia ni neno la Mungu!
Frank Schaeffer is an atheist who believes in God. Kuna aina mpya ya atheist siku hizi,wanaamini Mungu. Wanaamini maisha yametokana na evolution from natural selection.
Kuna mwingine anaitwa Ali Sina,unaweza kumsoma kwenye alisina.org au international faith freedom.com. Yeye anasema anamwamini mungu,anaamini evolution, anampenda yesu ila biblia sio neno la mungu bali ni kama mgodi wa dhahabu wenye mchanga mwingi ila dhahabu kidogo.
Zaidi unaweza soma hapa chini kuhusu Frank Schaeffer.
Meet an atheist who believes in God. CNN
he is not an atheist, perhaps an agnostic
care to see the difference? here they are from Wikipedia
" Atheism is, in a broad sense, the rejection of belief in the existence of deities. In a narrower sense, atheism is specifically the position that there are no deities.[SUP][/SUP][SUP][/SUP][SUP][/SUP] Most inclusively, atheism is the absence of belief that any deities exist "
" an agnostic is someone who neither believes nor disbelieves in the existence of a deity or deities, whereas a theist and an atheist believe and disbelieve, respectively "
Atheism - Wikipedia, the free encyclopedia
Agnosticism - Wikipedia, the free encyclopedia