Megastructures mlizozipinga zimeibadili taswira ya Tanzania, mlikurupuka kumkosoa Rais Magufuli

naona unavyojitaidi kuitetea serikali utadhani anko anapitia kusoma comment za kila mtu hapa

natetea ama nasema ukweli? we kama unasubria serikali utasubiri sana! na uendelee kusubiri ivo ivo
 
natetea ama nasema ukweli? we kama unasubria serikali utasubiri sana! na uendelee kusubiri ivo ivo
au wewe ndio jiwe mwenyewe naona unatuenjoy tu hapa jf
Mimi lazima niisubiri serikali sababu wao walizunguka nchi nzima wakituambia watatupa ajira sasa inakuaje Leo waanze kugeuka vitu walivyotuaidi wenyewe
 
Magufuli bus terminal ni ya kisasa zaidi. Kuwa nje ya mji sio sababu kuwa haina ubora wa kimataifa.

Hizo kevel tatu sio sababu ya kuwa ya kisasa kama Magufuli bus station
Sikushangai. Wakati wa kampeni za uchafuzi mkuu kuna mtu alisema Arusha itakua kama California, Tanzania itakua kama ulaya. Sasa tumeshaipita SA, pengine Mungu akijalia mwaka mmoja au miwili ijayo tutaifikia Ulaya. Lakini usisahsu waalimu bado wanasubiria laptop na wanakijij wanasubiria milioni 50.
 
Endelea kusubiri nao sisi tunapanda mpunga.
 
Magufuli bus terminal ni ya kisasa zaidi. Kuwa nje ya mji sio sababu kuwa haina ubora wa kimataifa.

Hizo kevel tatu sio sababu ya kuwa ya kisasa kama Magufuli bus station
Level tatu si kea maana ya ghorofa , kwa maana ya kukutanisha mabasi , taxi rank pamoja na metro rail underground , mind you upande mwingine kuna ile treni ya umeme .

Watanzania tuna tatizo kubwa la exposure , kama kweli umewahi kufika park station halafu ulinganishe na stendi ya mbezi basi ,una tatizo kubwa.
 
Leta picha za Jo'burg Park station na hizi Magufuli stations tufanye comparison kabla hatuja endelea na mjadala
Achana na lijinga hilo hata Jo'burg Jiji analisikia tu halijafika na kama lina picha ya hiyo Station litakuwa limeokota jalalani Manzese. Wenzetu wanabomoa Bus Stations mijini kupisha matumizi mengine kwa sababu usafiri wa Mabus umepitwa na wakati wala masoko mijini wameachana nayo miaka mingi wao ni Supermarkets hata gari utapata, Shopping Centres, Malls na unafanya shopping ukiwa umetulia nyumbani. Badala ya Mabus wenzetu ni Treni za kisasa kama Bullet za Japan na China, TGV za Ufaransa, ICE za Ujerumani, Maglev na nyingine nyingi zote hizi spidi zao sawa na za Bombardier za Magufuli. SGR siyo ya Kisasa ila nchi za EAC ziliamua kuwa na Gauge moja kubwa kuliko zilizopo na spidi yake ya maili 100 kwa saa ni karibu sawa na ya gari lako binafsi. Watanzania wengi wanaangalia Chato iliyo kama Ulaya basi wanalinganisha na chochote kinachojengwa popote kwingineko nchini na kuona ni mafanikio makubwa ya kuigwa duniani.
 
Manispaa ya ubungo itakuwa inapata bil 7+ kwa mwaka kupitia Magufuli bus terminal, unadhani hazitamsaidia mwananchi wa kawaida? Au unakaririshwa kukosoa tu?
Una uhakika zitaenda kumsaidia mwananchi wa kawaida, au zitatumika kumalizia ujenzi wa Ikulu yenu ya kifahari kwa ajili ya PK mtarajiwa?
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Eti kiongozi wa ukara.
Kwani mkuu zile flyovers,sgr na stendi mpya ya mbezi zinanufaisha watu wa gamboshi na ukara peke yake
 
Dawa inayo wafaa nyinyi ni mapinduzi tu. Hakuna namna. Hamuwezi kutuumiza mtaani kwa kisingizio cha kujenga hiyo miundombinu yenu.
 
Ndiyo haiajiri watu wote ndoana tabaka la wanaostahili kuajiliwa nchini ni asilimia 10 ya watu wote
Meaning illiterates na ambao hawajasoma Tanzania ni wengi Sana. Hiyoa asilimia 10 haiwezi kushindikana kuajirika. Sema siyo kipaumbele Cha jpm. Kipaumbele chake ni kuona watu wanakufa lakini barabara zinajengwa
 
Wanakuja kukupinga mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…