Mei 25: Maadhimisho ya Siku ya Afrika (Africa Day)

Mei 25: Maadhimisho ya Siku ya Afrika (Africa Day)

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Siku hii huadhimishwa kila Mei 25 ikiwa ni kumbukumbu ya kuanzishwa kwa Jumuiya ya Umoja wa Afrika (OAU) Mei 25, 1963 ambayo baadaye ilibadilishwa kuwa Umoja wa Afrika (AU)

Maadhimisho yanabeba Kaulimbiu "Kuimarisha Ustahimilivu katika Lishe na Usalama wa Chakula Barani Afrika". Umoja wa Afrika (AU) umetaja 2022 kuwa "Mwaka wa Lishe"

Tunaungana na Waafrika wote katika kuadhimisha #AfricaDay

========

The African Union Commission commemorates “Africa Day” on May 25th each year to acknowledge its successes and to encourage the progress that Africa has made under a specific theme while reflecting upon the common challenges that the continent faces in a global environment. The AU theme of the Year 2022 is “Strengthening Resilience in Nutrition and Food Security on the African Continent: Strengthening Agro-Food Systems, Health and Social Protection Systems for the Acceleration of Human, Social and Economic Capital Development”.

Africa can feed the World
In the Framework of the long-term vision encapsulated in Agenda 2063, aspiration one underlines the importance of nutrition for the “Africa We Want” with goal on “African people have a high standard of living, quality of life, sound health and wellbeing” and goal 3 on “citizens are healthy and well nourished, and enjoying a life expectancy of above 75 years.” Article 14 of the African Charter on the Rights and Welfare of the Child also calls for adequate nutrition, care to combat malnutrition and improved knowledge of nutrition, including breastfeeding and human capital development.

In a move to address the challenge of hunger and malnutrition, the 2014 Malabo Declaration 6 committed to ending hunger and reduce child stunting to 10 percent and the underweight to 5 percent 2025, endorsed Cost of Hunger (COHA) in Africa Study as a key advocacy tool and further endorsed the AU Nutrition Champion. In addition to the AU Nutrition champion, in the effort to rally high-level political engagement to advance nutrition in Africa, the African Union Heads of State and Government in 2018 endorsed the African Leaders for Nutrition (ALN) Initiative by the Africa Development Bank and the African Union Commission. The role of ALN is to rally high-level political engagement to advance nutrition in Africa

Source: African Union
 
Afrika ilikuwa ni Moja tangu Gondwanaland, wataalamu wa geology na archiology wafanye maarifa Yao tujue Gondwanaland ilitokea tarehe ngapi na ndipo Happ tujue siju ya Afrika
 
Afrika hatujawahi kujitambua,mnakuja na kauli mbiu simple kiasi hiki katika muda ambao Kila mwenye akili anaona uelekeo wa dunia ulivyo.

Kwanini wasije na kauli mbiu za kuhamasisha uhuru kamili Kwa mataifa ya afrika?
Kwanini wasihamasishe nchi za afrika ziweze kuimarisha majeshi yao?
Kwanini wasihamasishe uwekezaji mkubwa katika teknolojia na mapinduzi ya viwanda?

Senge sana....
 
Afrika hatujawahi kujitambua,mnakuja na kauli mbiu simple kiasi hiki katika muda ambao Kila mwenye akili anaona uelekeo wa dunia ulivyo.

Kwanini wasije na kauli mbiu za kuhamasisha uhuru kamili Kwa mataifa ya afrika?
Kwanini wasihamasishe nchi za afrika ziweze kuimarisha majeshi yao?
Kwanini wasihamasishe uwekezaji mkubwa katika teknolojia na mapinduzi ya viwanda?

Senge sana....
Yaani tunawazia matumbo tu yaani hakika tumelogwa tukalogeka
 
Back
Top Bottom