Mei 9 inawadia, Putin ana kipi cha kuwaambia Warusi maana ndio huwa siku ya Urusi kutunisha misuli kwenye maonesho

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Mei 9 hutumika kama maadhimisho ya kijeshi ya kusheherekea ushindi dhidi ya Hittler, na kawaida wanajeshi Warusi hufanya gwaride zao kwa mbwembwe na huonyesha zana zao za kivita kama mikwara kwa dunia. Pia Putin hutumia hiyo siku kueleza ushindi wa Urusi kwenye mapambano mbali mbali.

Sasa huyo Putin alifanya kitu alichoita "special operation" ya muda mfupi ili kuwatoa manazi kwenye uongozi wa Ukraine kataifa kadogo jirani yake, kilichomkuta amepoteza maelfu ya wanajeshi Warusi, zana zake zimelipuliwa hadi meli kadhaa na mindege na mamia ya vifaru na bado Kiev ilishindikana akaanza kugeuza ila huko huko alikogeuzia bado alifuatwa na kichapo na sasa kuna taarifa Ukraine wameanza kutembeza kichapo ndani ya Urusi, pia uchumi wa Urusi umeporomoka unaangukia pua.

Hali imekua mbovu mpaka ameweka dau la hela ndefu wapiganaji wa kimataifa waje kumsaidia.

Hivi atakapopewa mic aongee, atawaambia nini Warusi, au atabwatuka tu mikwara, japo pia Urusi ni taifa la kijamaa, na kawaida ya raia wajamaa huwa wapo wapo tu, wataambiwa chochote na kuendana nacho kama kilivyo....

===

What was Putin's goal?​

The Russian leader's initial aim was to overrun Ukraine and depose its government, ending for good its desire to join the Western defensive alliance Nato. He failed to capture the capital Kyiv and after a month of setbacks turned his ambitions to Ukraine's east and south.
Launching the invasion on 24 February he told the Russian people his goal was to "demilitarise and de-Nazify Ukraine", to protect people subjected to what he called eight years of bullying and genocide by Ukraine's government.
Foreign Minister Sergei Lavrov spoke of freeing Ukraine from oppression. Ukraine's democratically elected president, Volodymyr Zelensky, said "the enemy has designated me as target number one; my family is target number two".
Russia's leader refused to call it an invasion or a war, and made doing so a criminal offence. Instead it can only be termed a "special military operation"

================================================

Urusi ni taifa la kijamaa, na kawaida ya raia wajamaa huwa wapo wapo tu, wataambiwa chochote na kuendana nacho kama kilivyo....[emoji23]
 
Bahati ya Warusi Ukraine wanajilinda tu dhidi ya uvamizi na mashambulizi ya jeshi la Putin. Hawana mzozo na Urusi wala raia wa Urusi.

Wangekuwa na Rais mwehu asiyejali nao wangeweza kurusha baadhi ya makombora kwenye miji ya Urusi na kuzua taharuki kubwa huko. Walivyolipua meli ya Moskva ni kielelezo tu.
 
Sio bahati wanaju nini kitatokea ndio maana wanaonesha discipline
 
Siku hiyo ndo atatangaza vita rasmi. Na warusi watajua sasa wameingia vitani.

Ujue kule urusi watu wanajua nchi yao inafanya operation ndogo tu pale Ukraine [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Halafu sheikh, hao Warusi atawaambia nini kuhusu hali ilivyokua ngumu hadi yeye kuweka dau la hela ndefu kwa wapiganaji wajiunge kwenye kupambana dhidi ya Ukraine, tayari Syria waliitikia wito na ameomba yeyote aje kutokea taifa lolote wamsaidie, Warusi watamuelewa vipi....
 
Urusi ni taifa la kijamaa, na kawaida ya raia wajamaa huwa wapo wapo tu, wataambiwa chochote na kuendana nacho kama kilivyo....[emoji23]

Correction. Mkuu hakuna ujamaa Urusi. Kuna dikteta na maoligarch yenye kumiliki utajiri wa kutisha zikiwemo super luxury yachts, private jets na mijengo kadhaa huko New York, London, Paris, Luxembourg, etc. na billions of USD kwenye mabenki ya mabepari wa dunia.

Raia wa kawaida ndio wanyonge wenye kulishwa propaganda za uzalendo kama ilivyo kwa dunia ya tatu.
 
Nini kimeyafanya hayo mazungu ya Urusi kuwa mazuzu
 
Urusi ni nchi tajiri sana kwa maliasili, baada ya anguko la Ujamaa wale elites wa Kremlin waligawana keki ya taifa na sasa ni matajiri wakubwa.
 
Nini kimeyafanya hayo mazungu ya Urusi kuwa mazuzu

Urusi ndio taifa lenye polisi wengi kwa uwiano wa raia, heavily policed country in the world. Yaani wana askari 564.6 kwa kila raia 100,000 sasa hebu linganisha na Tanzania ama Kenya ambapo kuna polisi mmoja kwa kila raia 1,200

Kwa hivyo huko kwao Urusi kukamatwa kamatwa hovyo huwa rahisi sana na jela zao zilvyo, yaani kila ukigeuza kuna aidha askari au usalama taifa au shushushu

Hata Nchi ya Kiduku ni hivyo hivyo, wanajeshi ndiyo wanatoa huduma za kijamii mfano kusaidia wazee. Askari ni wengi na wengine wanavaa kiraia. Ukilalamikia serikali hata uwe unaongea na mkeo chumbani kesho unaitwa kituo cha polisi ujieleze.

Hii system hata kaka mkubwa Yoeri aliianzisha. Waganda wa New York summer wanafanya barbecue na kutapika nyongo yao yote juu ya utawala wao Uganda. Siku wakirudi nyumbani kibano wanacho.
 
Sisi wajamaa ni wepesi sana kuelewa, hatuna ubishi kama nyie [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].

Utaona hiyo siku warusi wooote watakuwa wanashangilia utadhani wameshashinda hiyo operation tayari.

Na hotuba ya puttin siku hiyo itajikita kuzionya Norway na Finland juu ya azma zao za kujiunga NATO. Yaani ataonyesha siraha nzito nzito ambazo ataweka mpakani mwa nchi hizo iwapo tu zitajiunga nato, yaani aatatoa vitisho havina mfano.

Mwisho atapigiwa salute na makofi kama yote.
Halafu sheikh, hao Warusi atawaambia nini kuhusu hali ilivyokua ngumu hadi yeye kuweka dau la hela ndefu kwa wapiganaji wajiunge kwenye kupambana dhidi ya Ukraine, tayari Syria waliitikia wito na ameomba yeyote aje kutokea taifa lolote wamsaidie, Warusi watamuelewa vipi....
 
Ninacho kijua mm mwisho wa siku Russia atakuwa ndio mshindi propaganda hazina maana mbele ya vitendo
Mr propaganda ni silaha muhimu sana ndani na nje ya uwanja wa vita. Ukizidiwa propaganda na mahasimu wako nivigumu sana vikosi vyako vilivyo mstari wa mbele kumudu ushindani. Vita sio ngoma ya mdumange kuna vifo vibaya sana vinatokea na askari wengi huwa wanapatwa na uchizi. Propaganda inatumika kushusha au kupandisha morale ya askari na kukuza uwelewa wa jamii juu ya muenendo wa vita
 
Correction. Mkuu hakuna ujamaa Urusi. Kuna dikteta na maoligarch yenye kumiliki utajiri wa kutisha zikiwemo super luxury yachts, private jets na mijengo kadhaa huko New York, London, Paris, Luxembourg, etc. na billions of USD kwenye mabenki ya mabepari wa dunia.

Raia wa kawaida ndio wanyonge wenye kulishwa propaganda za uzalendo kama ilivyo kwa dunia ya tatu.
Asante mkuu Drifter hiyo aya nimeinakili toka mada kuu ya mleta uzi
 
Back
Top Bottom