Mei 9 inawadia, Putin ana kipi cha kuwaambia Warusi maana ndio huwa siku ya Urusi kutunisha misuli kwenye maonesho

Mei 9 inawadia, Putin ana kipi cha kuwaambia Warusi maana ndio huwa siku ya Urusi kutunisha misuli kwenye maonesho

Hebu fuatilia uwezo wa akili wa watu wa urusi hasa hesabu na physics halafu fananisha na wazungu wengine ndo utajua hao ni mazuzu au la!...₩endeleeni kuamini propaganda za magharibi kwa kuwa nyinyi ndo mazuzu
Akili hizo unatakiwa uzitafsiri ktk fani ya uchumi ili uwe Economic Super Power. Sasa wewe uchumi wako unazidiwa hata na kajimbo kamoja tu huko Marekani sasa unaongea kitu gani hapo. Nonsense,
 
Bahati ya Warusi Ukraine wanajilinda tu dhidi ya uvamizi na mashambulizi ya jeshi la Putin. Hawana mzozo na Urusi wala raia wa Urusi.

Wangekuwa na Rais mwehu asiyejali nao wangeweza kurusha baadhi ya makombora kwenye miji ya Urusi na kuzua taharuki kubwa huko. Walivyolipua meli ya Moskva ni kielelezo tu.
hiko ndo kila nikiwaza nasema Zelewisky ni mtulivu wa akili sana
 
Hata Nchi ya Kiduku ni hivyo hivyo, wanajeshi ndiyo wanatoa huduma za kijamii mfano kusaidia wazee. Askari ni wengi na wengine wanavaa kiraia. Ukilalamikia serikali hata uwe unaongea na mkeo chumbani kesho unaitwa kituo cha polisi ujieleze.

Hii system hata kaka mkubwa Yoeri aliianzisha. Waganda wa New York summer wanafanya barbecue na kutapika nyongo yao yote juu ya utawala wao Uganda. Siku wakirudi nyumbani kibano wanacho.
hahahaaaaa
 
Sidhani. Kwa jinsi walivyoharibiwa miji yao. It will take them years to rebuild. Mbaya zaidi mamluki wao (askali kutoka UK) wameanza kukamatwa na Russian forces
ennh ngoja nivute kigoda , askar wangap wamekamatwa na Russian forces ?
 
[emoji16][emoji16]
FOj6Qf1VgAE1wB3.jpg
 
Kwa nini mifumo hiyo isilinde na meli pia sasa inamlinda dikteta Putin peke yake.
Haelewi huyo hiyo meli ilizamishwa ndio ilikuwa na mifumo yote ya kulinda meli zingine za kirusi za kivita zisishambuliwe ndio.maana ile kupigwa mikombora tu na Jeshi shupavu la Ukraine meli zote zingine za vita za Russia zikakimbia maeneo walikuwa kuelekea Ukraine wakajua kamanda mkuu kapigwa kombora kazama twafaaaaa zikageuza na kukimbia
 
Warusi wanafuatwa wanachapwa Hadi home.
Are you kidding me?
 
Correction. Mkuu hakuna ujamaa Urusi. Kuna dikteta na maoligarch yenye kumiliki utajiri wa kutisha zikiwemo super luxury yachts, private jets na mijengo kadhaa huko New York, London, Paris, Luxembourg, etc. na billions of USD kwenye mabenki ya mabepari wa dunia.

Raia wa kawaida ndio wanyonge wenye kulishwa propaganda za uzalendo kama ilivyo kwa dunia ya tatu.
Malizia kusoma thread ndipo umfanyie korection huyu
 
Back
Top Bottom