Mei 9 inawadia, Putin ana kipi cha kuwaambia Warusi maana ndio huwa siku ya Urusi kutunisha misuli kwenye maonesho

Hebu fuatilia uwezo wa akili wa watu wa urusi hasa hesabu na physics halafu fananisha na wazungu wengine ndo utajua hao ni mazuzu au la!...₩endeleeni kuamini propaganda za magharibi kwa kuwa nyinyi ndo mazuzu
Akili hizo unatakiwa uzitafsiri ktk fani ya uchumi ili uwe Economic Super Power. Sasa wewe uchumi wako unazidiwa hata na kajimbo kamoja tu huko Marekani sasa unaongea kitu gani hapo. Nonsense,
 
hiko ndo kila nikiwaza nasema Zelewisky ni mtulivu wa akili sana
 
hahahaaaaa
 
Sidhani. Kwa jinsi walivyoharibiwa miji yao. It will take them years to rebuild. Mbaya zaidi mamluki wao (askali kutoka UK) wameanza kukamatwa na Russian forces
ennh ngoja nivute kigoda , askar wangap wamekamatwa na Russian forces ?
 
Kwa nini mifumo hiyo isilinde na meli pia sasa inamlinda dikteta Putin peke yake.
Haelewi huyo hiyo meli ilizamishwa ndio ilikuwa na mifumo yote ya kulinda meli zingine za kirusi za kivita zisishambuliwe ndio.maana ile kupigwa mikombora tu na Jeshi shupavu la Ukraine meli zote zingine za vita za Russia zikakimbia maeneo walikuwa kuelekea Ukraine wakajua kamanda mkuu kapigwa kombora kazama twafaaaaa zikageuza na kukimbia
 
Warusi wanafuatwa wanachapwa Hadi home.
Are you kidding me?
 
Malizia kusoma thread ndipo umfanyie korection huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…