Mei Mosi Mwanza: Rais Samia ahutubia, aahidi kuongeza mishahara kuanzia mwakani, agusia mafao ya wastaafu

Hata Kama ndo ivyo ,yafanyakazi waachie wenyewe,acha roho mbaya KWA watumishi wakati huduma nyingi za kijamii wazipata pitia kwao,
Kwendraaa mbona uwazii vijana ambao hawajaajiliwa? Bora hata wewe unapata hako ka laki 5.ulivyo na roho mbaya unataka uongezewe vip wadogo zako walioko mitaani?
 
Sina shida na wewe uongezewe mshahara ila vip wadogo zako walioko mitaani?
 
Acha siasa ziendelee tu kwa watumishi ,ndio maana mtumishi akiotea gap lazima apige mpunga bila uoga wowote ule
Muwe na shukrani zaidi ya hapo na ahadi katoa mnataka awafanyie nini?
 
Mama aache ramli chonganishi .. Anamaana mwakani corona itakuwa imeisha?

Sasa uchumi wa kati tuloingia ni UPI! Tunachanganyana sasa aagh!
Uchumi wa kati ilikuwa propaganda za jiwe tu mkuu. Kwani wewe haukuwa Tanzania ukajionea hali halisi ya maisha ilivyokinzana na yaliyosemwa kuwa tupo kwenye uchumi wa kati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…