luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,160
- 21,676
Kwendraaa mbona uwazii vijana ambao hawajaajiliwa? Bora hata wewe unapata hako ka laki 5.ulivyo na roho mbaya unataka uongezewe vip wadogo zako walioko mitaani?Hata Kama ndo ivyo ,yafanyakazi waachie wenyewe,acha roho mbaya KWA watumishi wakati huduma nyingi za kijamii wazipata pitia kwao,