goodlif1600
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 805
- 877
Hizi hoja za kipumbavu watu waache kudai haki zao kisa Kuna watu hawajaajiriwa .wambie wajiajiriKwendraaaa[emoji57] mnaotaka kuongezewa mishahara mbona hamuwazi hata wadogo zenu walioko mitaani ,nao waajiriwe wapate hata hicho kidogo mnachopata kwa sasa?
Kazi iendelee si mlisema jpm alikuwa mbaya?
Sasa vipi mama anaesikiliza shida za watanzania nae ni mbaya eeh?
Kuna utofauti gani kati park na conservationngorongoro si national park. ni conservation area.
by standards national parks hakuna makazi ya watu ya kudumu ndani ya hifadhi.Kuna utofauti gani kati park na conservation
Huwezi kuelewa sababu mtaji mkubwa wa CCM ni wajinga na wasioweza kuhoji mambo kama wewe!maswali ya kitoto
Ahaa! VP Serengetiby standards national parks hakuna makazi ya watu ya kudumu ndani ya hifadhi.
conservation area ni eneo la uhifadhi tu. ndani yake kukiwa na makazi ya watu.
Ngororo pana jamii ya kimasai ambayo iko ndani ya eneo hilo. ndio maana hawajawa granted title hiyo sababu kuna makazi ya watu.. wanaish na wanyama eneo hilo.
Acha gubu basi! Promotion ni bora zaidi kuliko salary incriment! Na ahadi ya kuoandisha wafanyakazi imeshatolewa. Kupata kimoja kati ya viwili, bado ni ushindi! Umenielewa? Kwani hao wadogo zetu walioko mtaani unawalisha na kuwatunza wewe? Si wanatunzwa na ndugu zao? Wakiwemo hao wafanyakazi!Kwendraaaa😏 mnaotaka kuongezewa mishahara mbona hamuwazi hata wadogo zenu walioko mitaani ,nao waajiriwe wapate hata hicho kidogo mnachopata kwa sasa?
Kazi iendelee si mlisema jpm alikuwa mbaya?
Sasa vipi mama anaesikiliza shida za watanzania nae ni mbaya eeh?
Aiiiiiiìii ishiiii huna lolote.Acha gubu basi! Promotion ni bora zaidi kuliko salary incriment! Na ahadi ya kuoandisha wafanyakazi imeshatolewa. Kupata kimoja kati ya viwili, bado ni ushindi! Umenielewa? Kwani hao wadogo zetu walioko mtaani unawalisha na kuwatunza wewe? Si wanatunzwa na ndugu zao? Wakiwemo hao wafanyakazi!
Jpm atabakia kuwa janga milele kwa wafanyakazi. Mtu amekabidhiwa nchi miezi miwili iliyopita, halafu alete maajabu! Ameahidi mwakani, tunampa muda! Na wewe endelea kumtunza mumeo. Usitugombanishe na huyu mama watu. Siyo dikteta uchwara kama huyo jpm wako.
Una hasira dogo au na wewe kisu cha vyeti feki kilikupitia?Hizi hoja za kipumbavu watu waache kudai haki zao kisa Kuna watu hawajaajiriwa .wambie wajiajiri
Narudia tena maswali yako ni ya kitoto,hata mwanangu wa dei kea anajibu...acha ushamba.Huwezi kuelewa sababu mtaji mkubwa wa CCM ni wajinga na wasioweza kuhoji mambo kama wewe!
Mimi au wewe nani atakua mshamba! ?Narudia tena maswali yako ni ya kitoto,hata mwanangu wa dei kea anajibu...acha ushamba.
Kwa nini NMB na sio NBC ambayo angalu watoa riba nafuu.inategemea serikal iliingia makubaliano gani na benki.
benki si taasis ya huruma
serikal inatakiwa kukaa chini na kutafakari
Waziri wa kazi atakuwa anafahamu vizuri.Naomba ufafanuzi katika hili, kwenye hotuba ya Mh. SSH alisema amewaruhusu waajiri kuwapandisha Wafanyakazi Madaraja na kulipa malimbikizo ya madeni yao; kusema hivi alikuwa ana maanisha nini?!
ubora wa benki man. huwez wachagulia serikali benki ya kufanya nauo kazi.Kwa nini NMB na sio NBC ambayo angalu watoa riba nafuu.
Bora serikali ivunje Mkataba na NMB.
maana hii benki haiwakwamui wafanyakazi zaidi ya maumivu tu.
very very poor arguement...i ignore u!!Mimi au wewe nani atakua mshamba! ?
Jitafakari ! Kama mtoto wako anaweza kujibu maswali kama hayo wewe huwezi lazima ujiangalie upstairs utakua hauko sawa!
BTW ushamba tuliwaachia wanachato tangu March!
Peleka ujinga huko mbali! Nktvery very poor arguement...i ignore u!!