Acha gubu basi! Promotion ni bora zaidi kuliko salary incriment! Na ahadi ya kuoandisha wafanyakazi imeshatolewa. Kupata kimoja kati ya viwili, bado ni ushindi! Umenielewa? Kwani hao wadogo zetu walioko mtaani unawalisha na kuwatunza wewe? Si wanatunzwa na ndugu zao? Wakiwemo hao wafanyakazi!
Jpm atabakia kuwa janga milele kwa wafanyakazi. Mtu amekabidhiwa nchi miezi miwili iliyopita, halafu alete maajabu! Ameahidi mwakani, tunampa muda! Na wewe endelea kumtunza mumeo. Usitugombanishe na huyu mama watu. Siyo dikteta uchwara kama huyo jpm wako.