Mei Mosi Mwanza: Rais Samia ahutubia, aahidi kuongeza mishahara kuanzia mwakani, agusia mafao ya wastaafu

Kwendraaaa[emoji57] mnaotaka kuongezewa mishahara mbona hamuwazi hata wadogo zenu walioko mitaani ,nao waajiriwe wapate hata hicho kidogo mnachopata kwa sasa?
Kazi iendelee si mlisema jpm alikuwa mbaya?
Sasa vipi mama anaesikiliza shida za watanzania nae ni mbaya eeh?
Hizi hoja za kipumbavu watu waache kudai haki zao kisa Kuna watu hawajaajiriwa .wambie wajiajiri
 
Ndugu Zangu Mjifunze Kuchagua
Kosea Kuolewa/Kuoa Maana Mtaachana
Ukikosea Kuchagua Ni Mpaka Miaka 5 Tena

Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu
JPM 😁😀😂😃😅😆🖒🖒😅😆😁😀😂
 
Kuna utofauti gani kati park na conservation
by standards national parks hakuna makazi ya watu ya kudumu ndani ya hifadhi.
conservation area ni eneo la uhifadhi tu. ndani yake kukiwa na makazi ya watu.
Ngororo pana jamii ya kimasai ambayo iko ndani ya eneo hilo. ndio maana hawajawa granted title hiyo sababu kuna makazi ya watu.. wanaish na wanyama eneo hilo.
 
Ahaa! VP Serengeti
 
Kwendraaaa😏 mnaotaka kuongezewa mishahara mbona hamuwazi hata wadogo zenu walioko mitaani ,nao waajiriwe wapate hata hicho kidogo mnachopata kwa sasa?
Kazi iendelee si mlisema jpm alikuwa mbaya?
Sasa vipi mama anaesikiliza shida za watanzania nae ni mbaya eeh?
Acha gubu basi! Promotion ni bora zaidi kuliko salary incriment! Na ahadi ya kuoandisha wafanyakazi imeshatolewa. Kupata kimoja kati ya viwili, bado ni ushindi! Umenielewa? Kwani hao wadogo zetu walioko mtaani unawalisha na kuwatunza wewe? Si wanatunzwa na ndugu zao? Wakiwemo hao wafanyakazi!

Jpm atabakia kuwa janga milele kwa wafanyakazi. Mtu amekabidhiwa nchi miezi miwili iliyopita, halafu alete maajabu! Ameahidi mwakani, tunampa muda! Na wewe endelea kumtunza mumeo. Usitugombanishe na huyu mama watu. Siyo dikteta uchwara kama huyo jpm wako.
 
Aiiiiiiìii ishiiii huna lolote.
 
Narudia tena maswali yako ni ya kitoto,hata mwanangu wa dei kea anajibu...acha ushamba.
Mimi au wewe nani atakua mshamba! ?
Jitafakari ! Kama mtoto wako anaweza kujibu maswali kama hayo wewe huwezi lazima ujiangalie upstairs utakua hauko sawa!

BTW ushamba tuliwaachia wanachato tangu March!
 
inategemea serikal iliingia makubaliano gani na benki.
benki si taasis ya huruma
serikal inatakiwa kukaa chini na kutafakari
Kwa nini NMB na sio NBC ambayo angalu watoa riba nafuu.

Bora serikali ivunje Mkataba na NMB.
maana hii benki haiwakwamui wafanyakazi zaidi ya maumivu tu.
 
Naomba ufafanuzi katika hili, kwenye hotuba ya Mh. SSH alisema amewaruhusu waajiri kuwapandisha Wafanyakazi Madaraja na kulipa malimbikizo ya madeni yao; kusema hivi alikuwa ana maanisha nini?!
 
Waziri wa kazi atakuwa anafahamu vizuri.
kesho atatoa ufafanuzi.
 
Kwa nini NMB na sio NBC ambayo angalu watoa riba nafuu.

Bora serikali ivunje Mkataba na NMB.
maana hii benki haiwakwamui wafanyakazi zaidi ya maumivu tu.
ubora wa benki man. huwez wachagulia serikali benki ya kufanya nauo kazi.
mkataba waliongia na serikali haujawa disclosed. lazima pande mbili zinufaike direct au indirect.
ww akina kajamba nani huku chini tutabaki ku speculate tu.
 
Hizi Benki zetu pia zipo zipo tu, hazina hata mikakati ya kupunguza RIBA za Mikopo. yaaani wao wapo kutengeneza faida tu,

Ktk kipindi hiki cha Janga la COVI19 Mabenki mengi Duniani yamepunguza RIBA ili kuwasaidia wananchi wao wajikwamue.
kwa Tanzania NMB ilipaswa iwe mfano bora.
 
Mimi au wewe nani atakua mshamba! ?
Jitafakari ! Kama mtoto wako anaweza kujibu maswali kama hayo wewe huwezi lazima ujiangalie upstairs utakua hauko sawa!

BTW ushamba tuliwaachia wanachato tangu March!
very very poor arguement...i ignore u!!
 
Back
Top Bottom