Mei Mosi Mwanza: Rais Samia ahutubia, aahidi kuongeza mishahara kuanzia mwakani, agusia mafao ya wastaafu

Mungu fundi sana, ametuinua sana
 
Kuna watu ni wabinafsi sana yaani wao tu ndio waongezewe mishahara watu hawafiki hata milioni 3 halafu the rest 50 milion waumie kwa gharama za maisha kupanda.

Mambo ya ajabu sana hayo. Kelele mingi tija hakuna.
Wivu utakuua jamaa ,watumishi kuongezewa salary Ni haki yao Kama ilivyo haki zingine ,ili usiumie Zaid ingia kwenye utumishi na wewe
 
Basi acha aongeze hivyo hivyo,mbona wewe biashara yako inakupa buku kama faida lakini huiachi?we unadhani hiyo nyongeza ndogo haiwezi kuja kukuungisha biashara zako!lengo kubwa hapa ni kuongeze mzunguko wa fedha mtaani ndugu,wote tunategemeana katika maisha kama kwako hazina maana juwa kuna watu zitawasaidia
 
Wivu utakuua jamaa ,watumishi kuongezewa salary Ni haki yao Kama ilivyo haki zingine ,ili usiumie Zaid ingia kwenye utumishi na wewe
Kwahiyo umeajiriwa ili uongezewe mshahara tu bila tija yeyote??

Mnavyofisadi mashirika yetu namna hii halafu mnataka tuwaongezee mishahara ndio mnazidi kutupa hasira.

Hivi hujui kwamba kila unapoongeza mishahara unasababisha gharama za maisha nazo kupanda??

Kwahiyo kwa ubinafsi wako unaona ni sawa watu wachache kuwaumiza wengi kila mara??

Hilo ongezeko litazidi basi hata laki??

Ila unajua naumivu yake huku mtaani??

Sidhani kama unafikiri sawasawa, maana inavyoonekana umeshakua kilema wa mshahara.
 
Hongereni nyote mnaotarajiwa kuongezewa mishahara leo
Mtuombee nasi tukumbukwe awamu ya 6 tupate ajira
 
Hii slogan, maslahi bora, mishahara juu ni danganya toto tu ni kama kuwachemshia wanao mawe ukiwapa matumaini ni chakula kitaiva soon. Ila kazi lazima iendelee, hata bila mabadiliko yoyote.
 
Yuko wapi sasa? Mungu hadhihakiwi.
 
Chuki zenu na jiwe lenu zimeishia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…