Kizibo
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 4,033
- 8,805
"Mishahara nyongeza msubiri."
alisikika Milard Ayo
Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
alisikika Milard Ayo
Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo hiloooTiunasubiri neno moja tu kutoka kwa mama, mengine ni upupu
Bavicha watakwambia amewakomesha matagaHali ya uchumi hairuhusu kupandishwa mshahara naona Mama kawaskiliza washauri wake wa masuala ya Kiuchumi kudos to Mama SSH
Bavicha watakwambia mama amewakomesha mataga[emoji23][emoji23] Niliwasiliana na demu wangu ambae ni mtoto wa mh mama nikamwambia mwambie mama asiongeze hata mia mama mkwe kanisikia[emoji4][emoji4][emoji847][emoji56][emoji3][emoji199]
Duuuuh!Naona makofi hayapigwi tena..sema nn mama kawa mkweli..ngoma ngumu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu aaaaaaa!Naona makofi hayapigwi tena..sema nn mama kawa mkweli..ngoma ngumu!
Daraja la Busisi, reli ya Isaka na uwanja wa ndege miradi yoye hii lazima ikamilishwe.Busisi lazima ikamilike.
Hii ngumu kumeza [emoji3][emoji3]Naona makofi hayapigwi tena..sema nn mama kawa mkweli..ngoma ngumu!
Bavicha watakwambia mama amewakomesha matagaMishahara subirini mitano Tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pesa nyingi imechezewa na matumizi mabovu ya mwendazake kujumlisha na uchumi wa dunia wa hii corona kaona lolote na liwe.Naona makofi hayapigwi tena..sema nn mama kawa mkweli..ngoma ngumu!
Kafunga, harusiwi kupooza koo kwa maji.Coughing Samia