Mei Mosi Mwanza: Rais Samia ahutubia, aahidi kuongeza mishahara kuanzia mwakani, agusia mafao ya wastaafu

Mei Mosi Mwanza: Rais Samia ahutubia, aahidi kuongeza mishahara kuanzia mwakani, agusia mafao ya wastaafu

Mishahara subirini mitano Tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
  • Thanks
Reactions: Lee
[emoji23][emoji23] Niliwasiliana na demu wangu ambae ni mtoto wa mh mama nikamwambia mwambie mama asiongeze hata mia mama mkwe kanisikia[emoji4][emoji4][emoji847][emoji56][emoji3][emoji199]
Bavicha watakwambia mama amewakomesha mataga

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hivi mishahara ya wabunge na hawa watumishi ipi mikubwa?!
 
Hujamuelewa mh Raisi, hapo amemaanisha serikali haijapandisha kima cha chini cha mshahara kwa sekta binafsi toka mwaka 2013. Na kima cha chini ni laki moja kama sikosei.

Sema kupitia vyama vya wafanyakazi na matakwa ya muajiri walikua wanaongeza.

Kwahiyo kiserikali inatambua kima cha chini ni 100,000 kwa sekta binafsi.
 
Acha siasa ziendelee tu kwa watumishi ,ndio maana mtumishi akiotea gap lazima apige mpunga bila uoga wowote ule
 
Back
Top Bottom